From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
diego alejandro explains in his blog denuncias y más where he's been following the ups and downs of several other pyramid scheme enterprises.
kupitia blogu yake, denuncias y más, diego alejandro anaeleza anayoyaona kwa kuwa amekuwa akifuatilia yale yanayoendelea katika michezo mbalimbali ya upatu inayoendeshwa nchini humo.
hook, line, sinker by toastyken on blogs, through videos and on facebook, colombian diego alejandro is exposing the deceit and scams behind pyramid schemes that masquerade as investment options.
hook, line, sinker na toastyken kuhusu blogu, kwa kupitia picha za video na mtandao wa marafiki wa facebook, raia wa colombia, diego alejandro, anaweka wazi udanganyifu na utapeli mkubwa uliojificha nyuma ya michezo ya upatu ambayo inatangazwa kama njia mbadala za uwekezaji.
diegoalejandro1985 posts a video of people lining up outside one of these investment options known as drfe, trying to claim their money after the general attorneys searched the premises and took hold of money that could've been used to pay those with savings invested in the organization, but this search was deemed illegal and the pyramid scheme is still in operation.
diegoalejandro1985 ametuma picha ya video inayoonyesha watu wakiwa katika mstari wa kuingia katika moja ya taasisi zinazoendesha michezo hiyo inayojulikana kama drfe wakijaribu kudai pesa zao mara baada ofisi ya mwanasheria mkuu kuivamia na kuipekua, ambapo kuna fedha zilizokutwa zilizodhaniwa kuwa ilikuwa zitumike kulipa wale waliowekeza pesa zao kwenye taasisi hiyo, hata hivyo, msako huu unasemekana kwamba ulikuwa batili na hivyo mchezo wa upatu katika jengo hilo bado unaendelea.