Trying to learn how to translate from the human translation examples.
From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
the opposite of the word rare
kinyume cha neno hadimu
Last Update: 2022-02-15
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
he tweets the rare occurrence:
kupitia mtandao wa twita, anaelezea tukio hilo ambalo ni nadra sana kutokea:
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
lo! he is lord of rare good fortune.
hakika yeye ni mwenye bahati kubwa.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
public discussions on balochistan's war are rare.
majadiliano kuhusu vita vinavyoendelea balochistani ni nadra.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
good news from war-torn syria is rare these days.
kwa siku za hivi karibuni, imekuwa nadra sana kusikia habari nzuri kutoka syria, nchi iliyokumbwa na vita vikali.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
a very rare moment for this moron to apologise for his statements.
ni jambo la nadra kwa mshenzi huyu kuomba msamaha kutokana na kauli zake.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
in short, he will have to be that rare person who will inspire the trust of the investors.
kwa kifupi, lazima awe mtu nadra atakayewafanya wawekezaji wavutiwe kuja.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
a new political group representing people with disabilities and rare diseases has presented itself to the european elections today may 25.
kundi jipya la kisiasa linalowakilisha watu wenye ulemavu au magonjwa nadra limejiwasilisha kwa uchaguzi wa umoja wa ulaya leo mei 25.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
below is a video about the vision and missing of the new association of voters with disabilities and rare diseases group :
hapa chini ni video kuhusu maono ya kikundi hicho cha wapiga kura wenye ulemavu na magonjwa nadra :
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
inaccurate media descriptions of africa are not a rare phenomenon - even if the comedy of errors has steadily declined over the last few years.
makadirio ya vyombo vya habari yasiyosahihi kuhusu afrika ni hali iliyozoeleka - hata kama makosa yamekuwa yakipungua kwa miaka michache iliyopita.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
additionally, this year a new alternative has been launched, called the association of voters with disabilities and rare diseases-der .
zaidi ya hayo, mwaka huu harakati mbadala, tena mpya kabisa zimeanzishwa, zinazofahamika kama chama cha wapiga kura wenye ulemavu na magonjwa nadra-der .
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
freed from prison in 1990, he became president four years later, and left office after serving only one term, a rare gesture in african politics.
aliachiwa huru kutoka gerezani mwaka 1990, na kuwa rais miaka minne baadae, na kuachia madaraka baada ya kutumikia kwa kipindi kimoja tu, kitendo adimu kufanywa na wenye madaraka barani afrika.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
"we are a group of people affected, directly or indirectly, by a disability or rare disease, united by a common goal — improving the lives of those affected," said eduard carreras, the group's candidate, a 25-year-old young man from girona, spain, suffering from degenerative muscular dystrophy.
"sisi ni kundi la watu walioathirika, moja kwa moja na ulemavu au ugonjwa nadra, tumeungana na lengo moja - kuboresha maisha ya wale walioathirika", alisema eduard carreras, mgombea wa kundi hilo, kijana mwenye umri wa miaka 25 kutoka girona, hispania, anayeugua ugonjwa wa kudhoofu kwa misuli.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
Warning: Contains invisible HTML formatting