Results for react translation from English to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

how do we react?

Swahili

je tujibu vipi?

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

people interpret and react to information differently.

Swahili

watu hutafsiri na kufanyia kazi habari wanazozipokea kwa namna tofauti.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

the image led one vkontakte blogger to react :

Swahili

picha hiyo ilimfanya mwanablogu mmoja wa vkontakte kujibu :

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

i don't react but trust me i notice everything

Swahili

huniamini

Last Update: 2023-12-23
Usage Frequency: 1
Quality:

English

bangkok twitterers react to the news of samak’s death

Swahili

wanatwita wa bangakok wana maoni kadhaa juu ya habari za kifo cha samak:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

the youth of niger was prompt to react to the attacks.

Swahili

kijana mmoja wa naija alisukumwa kujibu mapigo.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

egypt: bloggers react to cairo bombings · global voices

Swahili

misri: wanablogu wafuatilia milipuko ya mabomu mjini kairo

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

sri lanka: bloggers react to the death of the ltte leader · global voices

Swahili

sri lanka: wanablogu watathmini kifo cha kiongozi wa ltte

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

the netizens were slow to react on this as they know that there had been a law suit against an university teacher for his facebook status.

Swahili

raia watumiao mtandao walichukua muda kuanza kuzungumzia suala hili kwa kujua kuwa palikuwa na shitaka dhidi ya mhadhiri wa chuo kikuu kufuatia kile alichokuwa amekiweka kwenye ukurasa wake.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

this combined lack of visibility in the news landscape prompted kenyan and other african students to react in beijing, despite being thousands of kilometers away from their home countries.

Swahili

hali hii ya kukosekana kwa taarifa zilizohusiana na shambulio la garissa liliwafanya wanafunzi wa kiafrika wanaosoma jijini beijing kuchukua hatua, pamoja na kuwa maelfu ya kilometa mbali na nchi walizotoka.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

@sameersiddiki every rapist should be raped publicly... and let them remain alive & then see how they react to the world... #menagainstrape — ak-47™© (@khan_arsalan) june 8, 2014

Swahili

kila mbakaji lazima abakwe hadharani...na tuwaache wabaki hai...sasa uone watakavyofanya mambo ya ajabu duniani....

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
8,877,192,948 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK