From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
but then his lord recalled him, and pardoned him, and guided him.
kisha mola wake mlezi akamteuwa, naye akamkubalia toba yake, naye akamwongoa.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
holy is he who has full control over everything, and to him you shall all be recalled.
basi ametakasika yule ambaye mkononi mwake umo ufalme wa kila kitu; na kwake yeye mtarejeshwa.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
weibo user “kong batian” recalled the world horticultural exposition in kunming in 1999:
mtumiaji mwingine wa (mtandao wa)weibo “kong batian” alikumbuka tamko la dunia la biashara ya maua jijini kunming mwaka 1999:
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
belgium recalled 100,000 unusable masks, thought to be from china, but were in fact from colombia.
nchi ya ubelgiji ilirejesha barakoa 100,000 ambazo haziwezi kutumika, ambazo zilidhaniwa zilitoka nchini china, lakini ukweli ni kwamba zilitoka nchini kolombia.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
"why should i not worship him who has brought me into being, and to whom you shall all be recalled?
na kwa nini nisimuabudu yule aliye niumba na kwake mtarejeshwa?
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
although according to news reports, many players had indicated they wanted to keep playing, the togolese government recalled the team on saturday.
kwa mujibu wa taarifa mbalimbali, wachezaji walionyesha nia ya kutaka kuendelea na mashindano, lakini serikali ya togo iliamua kuirudisha nyumbani timu hiyo siku ya jumamosi.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
filipino netizens recalled how president aquino was quick to looking after big corporations and attending celebrity events while being absent in many of the big tragedies that befell the nation.
wafilipino watumiao mitandao walikumbushana namna rais aquino alivyokuwa mwepesi kutoa muda wake kuhudhuria shughuli za zinazoandaliwa na makampuni makubwa wakati akikosekana kwenye majanga mengi makubwa yaliyoliathiri taifa.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
it has also been found that people, after having recalled or contemplated unethical acts, tend to wash hands more often than others, and tend to value hand washing equipment more.
imegunduliwa pia kuwa watu, baada ya kukumbuka au kutafakari matendo yasiyo na maadili, huonekana kuosha mikono zaidi kuliko wengine, na huonekana kuthamini vifaa vya kuosha mikono zaidi.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
for instance, spain withdrew 58,000 chinese-made coronavirus testing kits with an accuracy rate of just 30%, meanwhile, the netherlands recalled 600,000 chinese face masks which were defective.
kwa mfano, uhispania iliondoa vifaa vya kupima virusi 58,000 vilivyotengenezwa uchina vilivyokuwa na kiwango cha usahihi wa 30%, wakati huo, uholanzi ilirejesha barakoa za uso 600,000 za uchina ambazo zilikuwa na hitilafu.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality: