Ask Google

Results for reconcile translation from English to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

But if they reconcile—God is Forgiving and Merciful.

Swahili

Wakirejea basi Mwenyezi Mungu hakika ni Mwenye kusamehe na Mwenye kurehemu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

If they desire reconcilement, Allah shall reconcile them.

Swahili

Wakitaka mapatano Mwenyezi Mungu atawawezesha.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

If they wish to reconcile, God will bring them together.

Swahili

Wakitaka mapatano Mwenyezi Mungu atawawezesha.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

If two groups of believers fight each other, reconcile between them.

Swahili

Na ikiwa makundi mawili katika Waumini yanapigana, basi yapatanisheni.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

Once it has complied, reconcile between them with justice, and be equitable.

Swahili

Na likirudi basi yapatanisheni kwa uadilifu. Na hukumuni kwa haki.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

If they wish to have a settlement then God will reconcile them, for God is all-knowing and cognisant.

Swahili

Wakitaka mapatano Mwenyezi Mungu atawawezesha. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mjuzi Mwenye khabari.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

And that he might reconcile both unto God in one body by the cross, having slain the enmity thereby:

Swahili

Kwa mwili wake, Kristo aliuangamiza uadui wao; kwa msalaba wake aliziunganisha jamii hizo kuwa moja na kuzipatanisha na Mungu.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

English

The believers are brothers, so reconcile between your brothers, and remain conscious of God, so that you may receive mercy.

Swahili

Hakika Waumini ni ndugu, basi patanisheni baina ya ndugu zenu, na mcheni Mwenyezi Mungu ili mrehemewe.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

If a woman fears maltreatment or desertion from her husband, there is no fault in them if they reconcile their differences, for reconciliation is best.

Swahili

Na mwanamke akichelea kutupwa au kutojaliwa na mumewe, basi si vibaya kwao wakisikizana kwa suluhu. Na suluhu ni bora.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

Let us use this man's death as a turning point to reconcile ourselves to the different views of the people in the country rather than lying the blame with someone singing a song.

Swahili

Hebu na tutumie kifo hiki cha mtu wetu kama wakati wa kubadili mwelekeo ili kujipatanisha na mitazamo tofauti ya watu wa nchi yetu badala la kuishia kumtupia lawama mtu aliyeimba wimbo.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

And, having made peace through the blood of his cross, by him to reconcile all things unto himself; by him, I say, whether they be things in earth, or things in heaven.

Swahili

Kwa njia yake Mungu alivipatanisha naye vitu vyote naam, viumbe vyote mbinguni na duniania; alileta amani kwa damu ya Kristo msalabani.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

English

In the meantime, the couple reconciles and settles another round of pleasure on bed to resolve the dispute and do not want to pursue further.

Swahili

Wakati huo huo, wanandoa hao wataafikiana na kuanza duru nyingine ya starehe kitandani ili kusuluhisha mgogoro na hawatataka kuendelea na kesi.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

And if two groups of Muslims fight against each other, reconcile them; and if one of them oppresses the other, fight against the oppressor till it returns to the command of Allah; then if it returns, reconcile between them with justice, and be fair; indeed Allah loves the equitable.

Swahili

Na ikiwa makundi mawili katika Waumini yanapigana, basi yapatanisheni. Na likiwa moja la hao linamdhulumu mwenzie, basi lipigeni linalo dhulumu mpaka lirejee kwenye amri ya Mwenyezi Mungu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

Should someone suspect bias or injustice on the part of a testator, and then reconciles between them, he commits no sin.

Swahili

Na mwenye kumkhofia muusiaji kwenda kombo au kupata dhambi akasuluhisha baina yao, basi hatakuwa na dhambi.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

Those who swear to keep away from their wives (with intent of divorcing them) have four months of grace; then if they reconcile (during this period), surely God is forgiving and kind.

Swahili

Kwa wanao apa kuwa watajitenga na wake zao, wangojee miezi mine. Wakirejea basi Mwenyezi Mungu hakika ni Mwenye kusamehe na Mwenye kurehemu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
4,401,923,520 human contributions

Users are now asking for help:We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK