From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
records, archives and information management
records, archives and information management
Last Update: 2024-06-06
Usage Frequency: 1
Quality:
bachelor degree in records and information management
shahada ya shahada katika rekodi na usimamizi wa habari
Last Update: 2024-09-04
Usage Frequency: 1
Quality:
library and information management
maktaba na usimamizi wa habari
Last Update: 2021-10-10
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
bachelor of commerce in information management
usimamizi wa habari
Last Update: 2023-10-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
government: attacks at the freedom of speech and information of its
serikali ya tunisia: mashambulizi dhidi ya uhuru wa kujieleza na wa habari
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
twitter users expressed their opinion regarding these facts, spreading images and information about the consequences:
watumiaji wa twita walitoa maoni yao kuhusu ukweli huo, wakisambaza picha na taarifa kuhusu matukio hayo:
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
the blog features poetry by various african poets, interviews with poets, writers as well news and information on world renowned poets and writers alike.
blogu hiyo ina sehemu kwa ajili ya mashairi yanayoanndikwa na washairi kadhaa wa kiafrika, mahojiano na washairi, waandishi vile vile na habari na taarifa juu ya washairi wa kimataifa na waandishi hali kadhalika.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
visit the summit web site for background information on the goals of the meeting, the program of events, registration details and information about the vibrant city of santiago.
tembelea tovuti ya mkutano kwa habari zaidi juu ya malengo ya mkutano, programu ya matukio, maelekezo ya kujiandikisha na maelezo juu ya mji mchangamfu wa santiago.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
in it, she shares everything about herself as an artist from a personal perspective as opposed to the edited media stories and information that one will find in the entertainment section of a newspaper or magazine.
humo, anasema kila kitu kinachomhusu yeye kama msanii kwa kutumia mtazamo binafsi ukilinganisha na habari na taarifa za vyombo vya habari zinazohaririwa ambapo mtu anaweza kuzipata kwenye sehemu ya burudani wkenye magazeti na majarida.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
mozfest east africa is an annual event that brings together educators, innovators, learners and makers from east africa and beyond to share experiences and build the web together laying a foundation for growth of the internet and information technology in africa.
mozfest afrika mashariki ni tukio la kila mwaka linalowaleta pamoja wataalam wa elmu, wabunifu, wasomi na mafundi wa afrika mashariki kujaribu kujadili namna ya kujenga mtandao kwa pamoja kwa kuweka msingi wa ukuaji wa mtandao wa intaneti na teknolojia ya habari barani afrika.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
the press union of liberia’s attention is specifically drawn to several circumstances that do not only restrain journalists in their obligation to seek out and share useful news and information with the public, but significantly threaten even media participation in the global fight against ebola.
lengo la umoja wa vyombo vya habari wa liberia umejikita haswa katika mambo ambayo siyo tu yanawakwamisha waandishi wa habari katika jukumu lao la kutafuta na kusambaza habari na taarifa muhimu kwa jamii, lakini pia, bila shaka yoyote, jambo jingine ni hili la kuhatarisha ushiriki wa vyombo vya habari katika vita ya kidunia ya kukabiliana na ugonjwa wa ebola.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
rising voices and global voices are holding a live online chat for bloggers and activists on friday march 6, 2009 (5 pm nairobi time) on how to use blogging to improve awareness and information about hiv/aids.
mradi wa rising voices na global voices wanaandaa gumzo la moja kwa moja mtandaoni kwa wanablogu na wanaharakati siku ya ijumaa mwezi wa tatu mwaka huu(saa 11 jioni kwa saa za nairobi) mada kuu ikiwa jinsi ya kublogu na kuongeza uelewa na habari kuhusu virusi vya ukimwi na ukimwi.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
global voices books aims at "sharing citizen media for the future", as our subtitle reads, based on gv's huge archive and its on-going multi-language production.
mradi wa vitabu wa global voices unalenga "kushirikisha vyombo vya habari vya kiraia kwa ajili ya siku za baadaye", kama ambavyo kichwa chetu kidogo kinavyosomeka, kwa kutumia hifadhi kubwa ya gv na uzalishaji wake unaoendelea katika lugha nyingi mbalimbali.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
Warning: Contains invisible HTML formatting