From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
or anything that you think is harder to be brought to life."
au umbo lolote mnalo liona kubwa katika vifua vyenu.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
do you think that it is harder to create you or the heavens?
je! ni vigumu zaidi kukuumbeni nyinyi au mbingu?
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
for them is torment in the life of the word, and surely the torment of the hereafter is harder; and from allah there is for them no protector.
wanayo adhabu katika maisha ya dunia, na adhabu ya akhera hapana shaka ina mashaka zaidi. na wala hawatakuwa na wa kuwalinda na mwenyezi mungu.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
i will have your hands and feet cut off on alternate sides and crucify you on the trunks of date-palm trees. you will come to know whose punishment is harder and protracted."
basi kwa yakini nitakukateni mikono yenu na miguu yenu kwa kutafautisha. na nitakutundikeni misalabani katika vigogo vya mitende, na hapo kwa yakini mtajua ni nani katika sisi aliye mkali wa kuadhibu na kuiendeleza adhabu yake.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
Some human translations with low relevance have been hidden.
Show low-relevance results.