From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
we find ourselves in remarkable circumstances this month.
tunajipata katika hali za kipekee mwezi huu.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
edom has done journalism along with her understated activism with a remarkable elegance.
edom amejihusisha na uandishi wa habari ambao pamoja na kuwa uliambatana na kupuuzwa kwa uanaharakati wake, uanahabari wake umekuwa wa kukumbukwa na wa aina yake ya kipekee.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
2012 paralympics: a successful start, remarkable stories · global voices
paralympiki 2012: mwanzo mzuri, habari za kukumbukwa
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
the ordely fashion in which the #sudanref is taking place is remarkable.
mtindo wenye utaratibu ambao kura hii ya maoni (#sudanref) inaendeshwa ni mzuri sana.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
one of rwanda's most remarkable achievements is the progress of gender equality in numerous areas.
moja ya mafanikio makubwa ya nchi ya rwanda ni kukua kwa usawa wa kijinsia katika maeneo mengi.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
building on thalia's list, alison mcmillan recommends a few remarkable novels from asian authors:
akiendeleza orodha hiyo ya thalia, alison mcmillan anapendekeza riwaya kadhaa kutoka kwa waandishi wa asia:
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
how could i not join in the throng of proud bloggers in saluting such a remarkable, record breaking performance, finely executed by usain bolt?
iweje nisijiunge na wimbi la mabloga wajivunaji wanaopongeza uvunjaji wa rekodi uliofanywa kistadi na usain bolt?
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
however, there are some remarkable differences between covid-19 and sars, which are essential for containing the epidemic and treating the patients.
hata hivyo, kuna baadhi ya tofauti za kimsingi kati ya covid-19 na sars, ambazo ni muhimu katika kudhibiti janga hili na kutibu wagonjwa.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
while it’s no surprise that internet users are drawn to the revolutionary display in kiev, it is remarkable that the host of the winter olympics seems to have lost its home audience to a foreign event.
wakati haishangazi kwamba watumiaji wa intaneti wamevutwa na harakati za kimpinduzi huko kiev, inashangaza kwamba wenyeji wa mashindano ya olimpiki wamepoteza hadhira yao kwa tukio la nje ya nchi hiyo.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
unsereuni websitewithin days, the occupiers - to their own surprise - put in place a remarkable organizational structure: mobilization and communication was organized via the twitter "hashtags" #unibrennt and #unsereuni ("university on fire" and "our university").
ndani ya siku chache, waandamanaji hao waliofanya makazi –kwa msahangao wao –waliusimika muundo wa uongozi makini: uhamasishaji na mawasiliano yalifanyika kwa njia ya alama hii ya twita: #unibrennt na #unsereuni (“chuo cikuu kwawaka moto” na “chuo chetu kikuu”)
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting