Results for replicate translation from English to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

they replicate robustly without eliciting a strong host immune response.

Swahili

huzalishwa kwa wingi bila kuonyesha makabiliano ya kinga thabiti ya mwili ya mbebaji wake.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

English

for this to happen, hcovs have to replicate in humans to sufficient extent to allow the accumulation of adaptive mutations that counteract host restriction factors.

Swahili

ndio hii ifanyike, virusi vya hcov lazima vizalishwe ndani ya binadamu kwa kiwango toshelevu cha kuruhusu mkusanyiko wa mabadiliko yanayoweza kupambana na vigezo vya udhibiti vya mbebaji virusi.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

English

this intermediate host can serve as the zoonotic source of human infection and play the role of an amplifying host by allowing the virus to replicate transiently and then transmitting it to humans to amplify the scale of human infection.

Swahili

mbebaji huyu wa kati anaweza kutumika kama chanzo kutokana na wanyama cha maambukizi kwa binadamu na hutekeleza jukumu la mbebaji msambazaji kwa kuruhusu virusi kuzalishwa na kisha kusambazwa kwa binadamu ili kuzidisha kiwango cha maambukizi kwa binadamu.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

English

the exoribonuclease nonstructural protein, for instance, provides extra fidelity to replication by providing a proofreading function which the rna-dependent rna polymerase lacks.one of the main functions of the complex is to replicate the viral genome.

Swahili

protini isiyokuwa na muundo ya exoribonclease, kwa mfano, hutoa uaminifu wa ziada wa urudufishaji kwa kutoa utendaji wa kupitia ambao polyemerase rna inyotegemea rna inakosa. mojawapo ya kazi kuu za uchangamano huu ni kurudufu genomu ya virusi.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

English

in addition to replicating in the lower respiratory tract, sars-cov-2 can efficiently replicate in the upper respiratory tract and causes mild or no symptoms in the early phase of infection, similar to other covs that cause common colds.

Swahili

pamoja na kuzalishwa katika njia ya chini ya kupumua, sars-cov-2 inaweza kuzalishwa katika sehemu ya juu ya njia ya kupumua kwa ufanisi na kusababisha dalili za wastani au kutoonyesha dalili zozote katika awamu ya awali ya maambukizi, sawa na virusi vingine vya cov vinavyosababisha homa kali.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,651,252,267 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK