From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
by those who reprove severely,
na kwa wenye kukataza mabaya.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
and have no fellowship with the unfruitful works of darkness, but rather reprove them.
msishiriki katika matendo yasiyofaa, ya giza bali yafichueni.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
and when he is come, he will reprove the world of sin, and of righteousness, and of judgment:
naye atakapokuja atawathibitishia walimwengu kwamba wamekosea kuhusu dhambi, uadilifu na hukumu ya mungu.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
if one or both of them grow old in your presence, do not say fie to them, nor reprove them, but say gentle words to them
mmoja wao akifikia uzee, naye yuko kwako, au wote wawili, basi usimwambie hata: ah! wala usiwakemee.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
preach the word; be instant in season, out of season; reprove, rebuke, exhort with all longsuffering and doctrine.
hubiri huo ujumbe, sisitiza kuutangaza (iwe ni wakati wa kufaa au wakati usiofaa), karipia, onya na himiza watu ukiwafundisha kwa uvumilivu wote.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
(moses) said: "do not hold me for having forgotten, and do not reprove me and make my task difficult."
(musa) akasema: usinichukulie kwa niliyo sahau, wala usinipe uzito kwa jambo langu.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting