Results for retailers translation from English to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

north america and middle east retailers saw a 50–60% drop.

Swahili

wauzaji wa marekani kaskazini na mashariki ya kati waliona upungufu wa 50-60%.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

English

visits to retailers in europe and latin america declined by 40%.

Swahili

ziara kwa wauzaji ulaya na marekani ya kilatini zilipungua kwa 40%.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

English

finds a wide range of products and services on demand from outside retailers and distributors. as a result, the company keeps records and recods and purchase details from suppliers of different departments.

Swahili

hupata bidhaa na huduma mbalimbali kutaka kwa wauzaji na wasambazaji wa nje ya kampuni. kutokana na kufanya hivyo kampuni hy inaweka kumbukumbu na recod na maelezo ya ununuzi kutoka kwa wauzaji wa idara kufalani toifauti na yao wenyewe

Last Update: 2021-01-18
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

russell zimmerman, executive director of the australian retailers association, said that retailers try to raise stock, but local council restrictions on the timing of truck-deliveries make it hard.

Swahili

russell zimmerman, mkurugenzi mtendaji wa shirika la wauzaji rejareja nchini australia, alisema kwamba wauzaji rejareja wajaribu kuongeza bidhaa, lakini vizuizi vya baraza la mitaa kuhusu wakati wa kuwasilisha bidhaa kwa gari vililemaza rai yake.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

international retailers walmart, h&m, sears, gap, tommy hilfiger and many other renowned brands outsource their cloths from bangladesh, bearing the tag "made in bangladesh", a pride for the country.

Swahili

wauzaji wa rejareja wa kimataifa kama vile walmart, h&m, sears, gap, tommy hilfiger na mitindo mingine maarufu huagiza nguo zao kutoka bangladesh zikiwa na kibandiko cha"imetengenezwa bangladesh", ambayo ni sifa kubwa kwa nchi hii.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
8,647,204,491 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK