From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
asking is not stupid/ridiculous
kuuliza si ujinga
Last Update: 2019-11-14
Usage Frequency: 2
Quality:
Reference:
malaysian politicians say ridiculous stuff so often that most of us can barely keep up.
wanasiasa wa malaysia husema mambo ya kijinga mara nyingi kiasi kwamba hatuwezi hata kuyashika yote wanayoyasema.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
for their fellow muslims, this kind tends to be annoying at most and ridiculous at best.
kwa waislamu wenzao, kundi hili ni linakera zaidi na linaonekana kuwa la kijinga zaidi.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
but demanding medicals for candidates is as ridiculous as demanding that candidates be of a certain level of education.
lakini kudai tarifa za kiafya za wagonbea ni upuuzi kama ilivyo kutaka wagombea wawe na kiwango fulani cha elimu.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
aizyl azlee of the new forward reviews the website and confirms that malaysian politicians often spew out ridiculous statements:
aizyl azlee wa mtandao wa the new forward anapitia tovuti hiyo na kuthibitisha kuwa wanasiasa wa malysia mara nyingine hutoa kauli za kijinga:
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
sa sucks disputes the "history" of the vuvuzela as "the ridiculous lie being spread via wikipedia":
sa sucks anaipinga “historia” ya vuvuzela kama “uongo wa kijinga unaosambazwa kupitia wikipedia”:
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
Warning: Contains invisible HTML formatting
she also blames the ministry of interior for the whole thing: and with my all respect this is ridiculous , fighting a crime by a group of crimes.
na kwa heshima yangu yote huu ni ujinga wa ajabu, kupigana na uhalifu kwa makundi ya uhalifu.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
many bloggers found the decision to fire her ridiculous and unjustified; nawara negm wondered: عايزين نصيح لها بقى يا شباب why are they firing her?
wanablogu wengi wameuona uamuzi huo wa kumfukuza kazi kama wa kijinga na usiweza kuhalalishwa; nawara negm alijiuliza: kwa nini wanamfukuza kazi?
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
minister of foreign affairs harry kalaba regularly issued ridiculous statements to radio phoenix such as “the opposition leaders questioning the health of president sata are malicious”.
waziri wa mambo ya nje harry kalaba mara kwa mara alitoa matamko ya kijinga kwenye kituo cha radio phoenix kama vile “viongozi wa upinzani wanaohoji afya ya rais sata wanaongozwa na chuki".
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
Warning: Contains invisible HTML formatting
incredibly, the ridiculous lie is now being spread via wikipedia (thanks karooboy for pointing out) that the origin of the vuvuzela is actually based on a “kudu horn” that the blacks used to blow.
kuna uongo wa ajabu unasambazwa kupitia wikipedia (asante karooboy kwa kuuonyesha) kwamba asili ya vuvuzela imetokana na “pembe ya kudu” ambalo lilikuwa likipulizwa na weusi.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference: