From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
it appears that the un-wise roadmap for somalia is nothing but part of a plan of perfidy to keep somalia and the somalis in turmoil.
inaonekana kuwa mpango wa amani wa umoja wa mataifa unaoonekana kuwa ni wa busara kwa somalia si chochote bali ni sehemu ya mkakati wa ulaghai ili kuiweka somalia na wa-somali katika matatizo.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
the working session is a follow up to the recent addis signatories’ meeting were most of the constitutional issues were agreed and some of the provisions – prepared by the independent federal constitution commission – have been amended after congenial political negotiations between the signatories of the roadmap to end the transition, which was adopted in mogadishu last september.
kazi hii ni ya ufuatiliaji wa yaliyotekelezwa katika kikao cha waweka saini cha hivi karibuni kilichofanyikia mjini addis ababa ambapo mambo mengi ya kikatiba yalikubaliwa na baadhi ya mapendekezo -yaliyoandaliwa na tume huru ya katiba ya serikali ya shirikisho- yamerekebishwa baada ya makubaliano ya kisiasa ya amani baina ya waweka saini wa mpango huo wa amani wa kumaliza kipindi cha mpito, yaliyofanyika mogadishu mwezi wa 9 mwaka jana.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality: