From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
angola: once upon a time in roque santeiro · global voices
angola: hapo zamani za kale katika roque santeiro
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
currently, the roque santeiro market is means of survival for many angolan families.
hivi sasa soko la roque santeiro ni njia ya kujikimu ya familia nyingi za waangola.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
the roque santeiro market was established in its current venue in the 1980’s, at a time when the country was still beaten down by war and provisions were scarce.
soko la roque santeiro, liliwekwa kwenye eneo lake la sasa mnamo miaka ya 1980, wakati ambao nchi ilikuwa bado imeharibiwa na vita na mahitaji yalipokuwa adimu.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
the roque santeiro market, a name that comes from the famous brazilian soap opera that was a hit among the soap-opera crazed angolans, is known for being the biggest open-air market in africa, for transacting thousands of dollars a day, and for being the main stage for the sale of every imaginable product.
soko la roque santeiro, jina ambalo linatokana na maigizo maarufu ya filamu ya brazil ambao ulipata umashuhuri miongoni mwa wapenzi wa maigizo ya filamu wa angola, linajulikana kwa kuwa soko kubwa zaidi ya yote barani afrika, na kwa kufanya biashara ya maelfu ya dola kwa siku, na kwa kuwa ulingo mkuu wa mauzo ya kila bidhaa inayofikirika.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality: