From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
rubber conveyor belt
mpira conveyor ukanda
Last Update: 2017-06-04
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
rubber bullets fired.
risasi za mpira zinapigwa.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
the squeaky rubber gnome
?
Last Update: 2014-08-15
Usage Frequency: 3
Quality:
Reference:
unverified accounts of police using rubber bullets to shoot at protesters have circulated on social media.
habari zisizothibitishwa za polisi kutumia risasi za mpira kuwatawanya waandamanaji zimeenea kwenye mitandao ya kijamii.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
on the following friday night, police used tear gas and rubber bullets against a crowd that had gathered in front of the renamo offices in the neighbourhood of munhava.
usiku wa ijumaa iliyofuatia, askari polisi walitumia mabomu ya kutoa machozi na risasi za mpira dhidi ya umati ambao ulikuwa umekusanyika mbele ya ofisi za renamo katika maeneo ya munhava.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
an official local government car with plate number oku 8877 was taped firing gun shots – according to the author of the video, felipe amorim , it was not rubber bullet.
gari la afisa wa polisi wa serikali ya mtaa lililokuwa na namba oku 8877, milio ya bunduki ilirekodiwa kutoka kwenye gari hilo– kwa mujibu wa mpakiaji wa video, felipe amorim , haikuwa risasi ya mpira.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
the fourth protest of the free fare movement, which took place this thursday, june 13, in são paulo was met with police repression in the form of pepper spray, rubber bullets and tear gas.
maandamano ya nne ya harakati za kudai usafiri wa bure , yaliyotokea alhamisi ya tarehe 13 juni huko são paulo lilikabiliwa na upinzani kutoka kwa polisi waliokuwa wakinyunyiza maji ya pilipili, risasi za plastiki na mabomu ya machozi.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
peaceful protesters in bahrain who are pressuring the government to release political prisoners and pay tribute to the more than 40 people killed by security forces since february have been faced with police attacks, brutality, tear gas, and rubber bullets.
waandamanaji wa amani huko bahrain wanaoishinikiza serikali kuwaachia huru wafungwa wa kisiasa na kuwaomboleza watu zaidi ya 40 waliouawa na vikosi vya usalama tangu mwezi fevruari walikabiliwa na mapambano makali na polisi, mateso ya kikatili, mabomu ya machozi na risasi za mpira.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
@usiful_me: then, i must have imagined being close by guy being shot in leg by rubber bullet & another thrown off moving pick-up
@usiful_me: kwa hiyo, itakuwa nilifikiri tu kwamba nilikuwa karibu na mtu aliyepigwa risasi ya mpira mguuni na mwingine aliyetupwa kwenye gari dogo la wazi lililokuwa kwenye mwendo
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
Warning: Contains invisible HTML formatting