Results for runneth translation from English to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

each runneth unto an appointed term.

Swahili

huyo ndiye mwenyezi mungu mola wenu mlezi.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

and the sun runneth on unto a resting-place for him.

Swahili

jua iko

Last Update: 2017-08-02
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

and the sun runneth to its appointed term: that is the disposition of the mighty, the knowing."

Swahili

na jua linakwenda kwa kiwango chake. hayo ni makadirio ya mwenye nguvu, mwenye kujua.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

English

hast thou not seen how allah hath made all that is in the earth subservient unto you? and the ship runneth upon the sea by his command, and he holdeth back the heaven from falling on the earth unless by his leave.

Swahili

je! huoni kwamba mwenyezi mungu amevidhalilisha kwenu viliomo katika ardhi, na marikebu zipitazo baharini kwa amri yake, na amezishika mbingu zisianguke juu ya ardhi ila kwa idhini yake.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

neither do men put new wine into old bottles: else the bottles break, and the wine runneth out, and the bottles perish: but they put new wine into new bottles, and both are preserved.

Swahili

wala hakuna mtu awekaye divai mpya katika viriba vikuukuu. akifanya hivyo, viriba hupasuka na divai ikamwagika, navyo viriba vikaharibika. ila divai mpya hutiwa katika viriba vipya, na vyote viwili, viriba na divai, vikahifadhiwa salama."

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

English

allah it is who raised up the heavens without visible supports, then mounted the throne, and compelled the sun and the moon to be of service, each runneth unto an appointed term; he ordereth the course; he detaileth the revelations, that haply ye may be certain of the meeting with your lord.

Swahili

mwenyezi mungu aliye ziinua mbingu bila ya nguzo mnazo ziona, ametawala kwenye ufalme wake, na amefanya jua na mwezi yamt'ii, kila kimoja kinakwenda kwa kiwango maalumu. anayapanga mambo, na anazipambanua ishara ili mpate kuwa na yakini kukutana na mola wenu mlezi.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Get a better translation with
8,904,019,954 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK