From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
"we are failing to enter into resource contracts as it was in mining and currently in oil and gas because our capacity is very low,” said rutabanzibwa.
"tunashindwa kuingia mikataba inayohusu rasilimali kama ilivyokuwa kwenye uchimbaji madini na sasa katika mafuta na gesi kwa kuwa uwezo wetu bado ni mdogo,” alisema rutabanzibwa.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
nor does it help when the likes of patrick rutabanzibwa, chairman of panafrican energy, the company that runs the songo songo gas and gas-fueled power plant in ubungo in dar es salaam (also the former permanent secretary of the ministry of energy and minerals), minimise the matter.
vile vile, haikusaidia, hata pale patrick rutabanzibwa, mwenyekiti wa panafrican energy, kampuni inayoendesha mradi wa gesi ya songo songo pamoja na mtambo wa kuzalisha umeme wa ubungo uliopo jijini dar es salaam (na pia ndiye aliyekuwa katibu wa wizara ya nishati na madini), kulimaliza suala hili kimya kimya.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality: