From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
the argument the blogger is making about comparing liverpool songs and brazil's samba atmosphere borders on retarded.
mtazamo anaotoa mwanablogu wa kufananisha nyimbo za liverpool na mandhari ya samba huko brazil uko karibu na utaahira.
on the blog rispito , the guinean samba bari alleges that the disappearance is another challenge for the transitional authorities and that the situation could widen the fissure between the guinean government not recognized by luanda and the angolan government.
kwenye blogu ya rispito , raia wa guinea samba bari anadhani kuwa kutoweka kwa mwandishi huyo ni changamoto nyingine kwa serikali ya mpito na kuwa hali hiyo inaweza kuongeza misuguano kati ya serikali ya guinea isiyotambuliwa na luanda na serikali ya angola.
to me asking the local supporters to leave their vuvuzela’s at home would be like asking the liverpool fans not to sing you'll never walk alone, or asking the brazilian fans not to create the samba atmosphere at their matches.
kwangu, kuwaambia mashabiki wa nyumbani kuyaacha mavuvuzela yao nyumbani itakuwa kama kuwaomba wapenzi wa liverpool kuacha kuimba “katu hutotembea peke yako”, au kuwaambia mashabiki wa brazili kuacha kusakata samba kwenye mechi zao.