From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
sapphire
yakuti samawati, yakuti samawi
Last Update: 2012-06-05
Usage Frequency: 1
Quality:
the land dispute started in 1991 when an important source of sapphire and mica was discovered in the andranondambo.
mgogoro wa ardhi ulianza mwaka wa 1991 wakati madini ya mica yilipogunduliwa katika kijiji hicho cha andranondambo.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
and the foundations of the wall of the city were garnished with all manner of precious stones. the first foundation was jasper; the second, sapphire; the third, a chalcedony; the fourth, an emerald;
mawe ya msingi wa ukuta huo yalikuwa yamepambwa kwa kila aina ya mawe ya thamani. jiwe la kwanza la msingi lilikuwa jiwe la thamani jekundu, la pili yakuti samawati, la tatu kalkedoni, la nne zamaradi,
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality: