Trying to learn how to translate from the human translation examples.
From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
cell phone number
wilaya
Last Update: 2021-09-12
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
switch off the cell phone and no questions asked.
zima simu na hakuna swali litaulizwa.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
there is only partial internet and cell phone service.
kuna huduma kiduchu sana za intaneti na simu za mkononi.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
photo of cell phone close up by jonjon2k8 on flickr.
picha ya simu ya kiganjani na jonjon2k8 kwenye flickr.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
several people appeared and beat him so severely that he lost his consciousness, and they took his cell phone and laptop.
watu kadhaa walijotkeza na kumpiga vibay sana kiasi cha kupoteza fahamu na pia walichukua simu yake ya mkononi pamoja na ngamizi mpakato yake.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
but the crash happened far from any metropolitan area where, as witnesses reported, the cell phone coverage was limited.
lakini ajali ilitokea mbali na maeneo ya mjini ambako, kama mashihidi walivyotaarifu, uwezo wa kupatikana kwa mawasiliano ya simu za mkononi ulikuwa mdogo.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
the internet, twitter, cell phone text messages are running hot with information, rumors, threats, warnings, and fear.
intaneti, twita, jumbe za maandishi kwenye simu za viganjani vimejaa moto kwa habari, uvumi, vitisho, maonyo na hofu.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
lj user offnet complained that one of the reasons for the cell phone network blackout was a bureaucratic routine that required mounting an extra re-translator cell stations even in extreme situations.
mtumiaji wa lj offnet alilalamika kwamba moja ya sababu za kukatika kwa mtandao wa simu za mkononi ilikuwa ni utaratibu wa kimangimeza ambo ulihitaji usimikaji wa kituo kingine cha ziada cha kurushia matangazo hata katika wakati wa wa hali mbaya zaidi.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
some people think that our farmers are uneducated and cannot use cell phones.
baadhi ya watu wanadhani kwamba wakulima wetu hawana elimu na hovyo hawawezi kutumia simu za mkononi.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
from this data, we have no doubt that our farmers are well able to use cell phones.
kutokana na takwimu hizi, hatuna shaka kwamba wakulima wetu wanao uwezo wa kutumia simu za mkononi.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
"at what point in time did society make it an easier, more obvious and appealing choice for an impoverished population in the grips of an hiv epidemic, to buy a cell phone rather than a condom?
"katika nukta au wakati gani ambapo jamii imefanya chaguo hili kuwa rahisi, na lenye uwazi na mvuto kwa watu masikini waliobanwa na janga la vvu, kwenda kununua simu za viganjani badala ya kondomu?
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
Warning: Contains invisible HTML formatting
under the ges scheme, we made it possible for farmers to transact business in their own local languages using their cell phones.
chini ya mpango wa ges, tuliwezesha wakulima kufanya miamala ya kibiashara kwa kutumia lugha zao za kiasili kwa kutumia simu za mkononi.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
is it arrogant of me to wonder why an entire population acquired cell phones before they had access to a successful public health strategy for a preventable disease?"
je dharau kwa upande wangu kuhoji kwa nini umma mzima umiliki simu za mkononi kabla ya kunufaika na mkakati wa kinga ya afya kupingana na ugonjwa unaoweza kuzuilika?"
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
Warning: Contains invisible HTML formatting
the ges scheme delivers inputs (fertilizers and seeds) to farmers directly by using farmers' cell phones.
mpango wa ges huwezesha kupatikana kwa mbolea na mbegu kwa wakulima moja kwa moja kwa kutumia simu za mkono za wakulima.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference: