Results for scarlet translation from English to Swahili

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

English

Swahili

Info

English

scarlet

Swahili

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

and they stripped him, and put on him a scarlet robe.

Swahili

wakamvua nguo zake, wakamvika joho la rangi nyekundu.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

English

it is estimated that there are only 300 scarlet macaw families left in the mayan biosphere.

Swahili

ina kadiriwa kuwa kuna jamii 300 tu za macaw wekundu waliobaki katika mazingira ya kibaiolojia ya maya.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

the park is considered a scarlet macaw sanctuary for birdwatchers, and is one of the reasons why guatemalan birding school blog expresses its concerns.

Swahili

hifadhi hii hulichukuliwa kama eneo la pekee la ndege wa aina ya macaw wekundu na waangalia ndege (wapenzi wa ndege) na ndiyo maana blogu ya shule ya kufundisha utunzaji ndege guatemala inaeleza mashaka yake.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

and the woman was arrayed in purple and scarlet colour, and decked with gold and precious stones and pearls, having a golden cup in her hand full of abominations and filthiness of her fornication:

Swahili

mwanamke huyo alikuwa amevaa vazi la rangi ya zambarau na nyekundu; alikuwa amejipamba kwa dhahabu, mawe ya thamani na lulu. mkononi mwake alishika kikombe cha dhahabu ambacho kilikuwa kimejaa machukizo na mambo machafu yanayoonyesha uzinzi wake.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

English

so he carried me away in the spirit into the wilderness: and i saw a woman sit upon a scarlet coloured beast, full of names of blasphemy, having seven heads and ten horns.

Swahili

kisha, roho akanikumba, akaniongoza mpaka jangwani. huko nikamwona mwanamke ameketi juu ya mnyama mwekundu. mnyama huyo alikuwa ameandikwa kila mahali majina ya makufuru; alikuwa na vichwa saba na pembe kumi.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

English

and saying, alas, alas, that great city, that was clothed in fine linen, and purple, and scarlet, and decked with gold, and precious stones, and pearls!

Swahili

wakisema, "ole! ole kwa mji huu mkuu. ulizoea kuvalia nguo za kitani, za rangi ya zambarau na nyekundu, na kujipamba kwa dhahabu, mawe ya thamani na lulu!

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
7,794,224,912 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK