Results for see what the lord has done for yo... translation from English to Swahili

English

Translate

see what the lord has done for your life

Translate

Swahili

Translate
Translate

Instantly translate texts, documents and voice with Lara

Translate now

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

my inspiration its wonderful what the lord has done

Swahili

msukumo wangu

Last Update: 2024-10-23
Usage Frequency: 1
Quality:

English

a soul must see what it has done for the future.

Swahili

mcheni mwenyezi mungu, na kila nafsi iangalie inayo yatanguliza kwa ajili ya kesho.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

the lord has ruled

Swahili

bwana ametamalaki

Last Update: 2021-01-14
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

don't ask what egypt has done for us.

Swahili

usiulize nini misri imefanya kwa ajili yetu.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

meaning of we bless the lord for your life man of god in swahili

Swahili

meaning of we bless the lord for your life man of god in swahili

Last Update: 2020-06-28
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

thus far the lord has brought me

Swahili

mpaka sasa bwana ameniletea

Last Update: 2022-12-31
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

remember the favors that god has done to you and the book and wisdom he has revealed for your guidance.

Swahili

na kumbukeni neema ya mwenyezi mungu juu yenu, na aliyo kuteremshieni katika kitabu na hikima anacho kuonyeni kwacho.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

the lord would then say, "for your disbelief, suffer the torment."

Swahili

yeye atasema: basi onjeni adhabu kwa sababu ya vile mlivyo kuwa mnakataa.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

English

for your lord has so directed it.

Swahili

kwa sababu mola wake mlezi ameifunulia!

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

every soul shall be paid in full according to what it has done, for he knows well what they did.

Swahili

na kila nafsi italipwa kwa yale iliyo yafanya, na yeye anayajua sana wanayo yatenda.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

wherefore be ye not unwise, but understanding what the will of the lord is.

Swahili

kwa hiyo, msiwe wapumbavu, bali jaribuni kujua matakwa ya bwana.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

he is the lord of the east and the west; there is no god except him. take him for your guardian.

Swahili

mola mlezi wa mashariki na magharibi, hapana mungu isipo kuwa yeye, basi mfanye kuwa mtegemewa wako.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

he is the lord of the east and the west; there is no god but he. so take him alone for your guardian,

Swahili

mola mlezi wa mashariki na magharibi, hapana mungu isipo kuwa yeye, basi mfanye kuwa mtegemewa wako.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

and surely, we gave you authority on the earth and appointed for you therein provisions (for your life).

Swahili

na hakika tumekuwekeni katika ardhi, na tumekujaalieni humo njia za kupatia maisha.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

and the lord said, hear what the unjust judge saith.

Swahili

basi, bwana akaendelea kusema, "sikieni jinsi alivyosema huyo hakimu mbaya.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

English

but i will send them a gift and see what the envoys bring back (in return)."

Swahili

lakini mimi nitawapelekea zawadi, nami nitangoja watakayo rudi nayo wajumbe.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

English

for though i should boast somewhat more of our authority, which the lord hath given us for edification, and not for your destruction, i should not be ashamed:

Swahili

hata kama nimezidi katika kujivuna kwangu juu ya ule uwezo aliotupa--uwezo wa kuwajenga na sio wa kubomoa--hata hivyo sijutii hata kidogo.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

thereupon the angel below her cried out: "grieve not, for your lord has caused a stream of water to flow beneath you.

Swahili

pakatangazwa kutoka chini yake: usihuzunike! hakika mola wako mlezi amejaalia chini yako kijito kidogo cha maji!

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

English

and he said unto his disciples, therefore i say unto you, take no thought for your life, what ye shall eat; neither for the body, what ye shall put on.

Swahili

kisha yesu akawaambia wanafunzi wake, "kwa sababu hiyo nawaambieni, msiwe na wasiwasi juu ya chakula mnachohitaji ili kuishi, wala juu ya mavazi mnayohitaji kwa ajili ya miili yenu.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

English

yet nobody believes what the children have to say, because these three children possess special powers of equality and tolerance that enable them to see what others in their communities cannot see.

Swahili

bado hata hivyo hakuna anayeamini wanachokisema watoto hao, kwa sababu watoto hao watatu pekeyao wanazo nguvu maalumu za usawa na uvumilivu zinaowawezesha kuona kile ambacho jamii zao haziwezi kukiona.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Get a better translation with
8,920,748,074 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK