Results for senator translation from English to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

senator

Swahili

msenja

Last Update: 2020-06-23
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

nominated senator, mbura allegedly asked women in the coastal region to go topless so that more tourists can visit the region.

Swahili

seneta mteule, mbura anasemekana kuwaomba wanawake katika mkoa wa pwani kutembea nusu uchi ili kuwavutia watalii zaidi kuzuru eneo hilo.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

after learning about this report, senator chiz escudero berated local officials for failing to understand the gravity of the situation:

Swahili

baada ya kufahamu kuhusu ripoti hii, seneta chiz escudero alikosoa maafisa wa serikali kwa kushindwa kuelewa uzito wa hali:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

andrew bartlett, former democrats senator and current greens candidate for the next federal election, wants more action from both state and federal leaders.

Swahili

andrew bartlett, seneta wa zamani wa chama cha democrats na mgombea wa chama cha greens katika uchaguzi ujao wa taifa, anataka vitendo zaidi kutoka kwa wote, viongozi wa majimbo na wale wa kitaifa.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

interaksyon reported that the chinese government donated 200,000 masks to the philippines on 6 february, after senator richard gordon shipped 3.16 million masks to wuhan.

Swahili

interaksyon iliripoti kuwa serikali ya uchina ilitoa msaada wa barakoa 200,000 kuelekea ufilipino mnamo 6 februari, baada ya seneta richard gordon alisafirisha barakoa milioni 3.16 hadi wuhan.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

after the vote that confirmed oronoz rodríguez as a supreme court judge, some senators requested a recount of the vote.

Swahili

baada ya kura iliyomthibitisha oronoz rodríguez kuwa jaji wa mahakama kuu, baadhi ya maseneta waliomba kuhesabiwa upya kwa kura.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Get a better translation with
7,745,758,665 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK