Results for sentencing translation from English to Swahili

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

English

Swahili

Info

English

sentencing

Swahili

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

during her sentencing at the initial trial in 2003, irene was reported to have said:

Swahili

wakati alipokuwa akisomewa hukumu mwanzoni mwa mashtaka mwaka 2003, irene aliripotiwa kusema:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

among the factors contributing to the problem are lack of alternative sentencing options at trial and delays in the administration of the criminal justice system.

Swahili

miongoni mwa mambo yanayochangia tatizo ni ukosefu wa chaguzi za adhabu mbadala katika kesi na ucheleweshaji katika utawala wa mfumo wa makosa ya jinai.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

days after the sentencing of two video blogging youth activists in azerbaijan, other bloggers are starting to speak out about the imprisonment of adnan hajizade and emin milli.

Swahili

siku chache baada ya hukumu ya vijana wanaharakati wawili wa blogu za video huko azerbaijan, wanablogu wengine wanaanza kuongea kwa sauti juu ya kifungo cha adnan hajizade na emin milli.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

the sentencing of 43 egyptian and foreign employees in non-governmental organisations to jail terms of up to five years, has sparked anger on social media networks - and on the ground.

Swahili

kuhukumiwa kwa wafanyakazi 43 wa misri na kigeni katika mashirika yasiyo ya kiserikali na kifungo jela cha hadi miaka mitano, kumeibua hasira kwenye mitandao ya kijamii - na sehemu nyinginezo.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

in ukraine, meanwhile, petro congratulates the residents of kabul for sentencing their mayor to four years of prison for corruption and imagines how quickly kyiv's prisons would fill up if the same laws were enforced in his country.

Swahili

wakati huo huo huko ukraine, petro anawapongeza wakazi wa kabul kwa kumhukumu meya wao mika minne jela kwa kosa la rushwa na wanafikiria ni kwa haraka kiasi gani magereza ya kyiv yatajaa ikiwa sheria hizo hizo zingefuatiliwa katika nchi yake.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
7,727,671,158 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK