From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
she had been writing a letter
alikuwa akiandika barua
Last Update: 2023-11-14
Usage Frequency: 1
Quality:
she said no, she had an orange phone.
akasema hapana, alikuwa na simu ya mtandao wa orange.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
she had calmed down somewhat, but still sounded very scared.
amepoa kwa kiasi fulani, lakini alikuwa bado na hofu.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
obviously she had seen way beyond the sexy smile.”oh, houssam.
dhahiri alikuwa na mvuto zaidi ya tabasamu ya kimapenzi. “ah, houssam.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
she had to in order to have a nice start, with all the deserved support.
alifanya hivyo mwanzoni ili kuwa na mwanzo mzuri na kwa kila uungwaji mkono aliostahili.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
had we not strengthened her heart to remain a believer she had almost given him away.
alikuwa karibu kumdhihirisha, ingeli kuwa hatukumtia nguvu moyo wake ili awe miongoni mwa waumini.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
when she had heard of jesus, came in the press behind, and touched his garment.
alikuwa amesikia habari za yesu, na hivyo akaupenya msongamano wa watu kutoka nyuma, akagusa vazi lake.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
alissa had come to kenya and for several months she had been working with the people living in kibera.
alissa alikuwa amekuja kenya, na kwa muda wa miezi kadhaa, alikuwa anafanya kazi na watu wanaoishi kibera.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
and make mention of mary in the scripture, when she had withdrawn from her people to a chamber looking east,
na mtaje maryamu katika kitabu, pale alipo jitenga na jamaa zake mahali upande wa mashariki;
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
and she had a sister called mary, which also sat at jesus' feet, and heard his word.
martha alikuwa na dada yake aitwaye maria; huyu aliketi karibu na yesu akisikiliza mafundisho yake.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
and when she had thus said, she turned herself back, and saw jesus standing, and knew not that it was jesus.
baada ya kusema hayo, aligeuka nyuma, akamwona yesu amesimama hapo, lakini asitambue ya kuwa ni yesu.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
if they have a child, a quarter of what they leave shall be yours after any bequest she had bequeathed, or any debt.
wakiwa na mtoto basi fungu lenu ni robo ya walicho acha, baada ya wasia waliyo usia au kulipa deni.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
after pictures of chai holding a newborn baby at an airport were published online, reports surfaced that she had given birth to a daughter in the us in october 2013.
baada ya picha za chai akiwa amembeba mwanae mchanga uwanja wa ndege kuchapishwa mtandaoni, taarifa zilisambaa kwamba alikuwa amejifungua mtoto wa kike nchini marekani mwezi oktoba 2013.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
milocas pereira was attacked in the beginning of the month of may by unknown people, before having communicated her intention to leave angola to some people she had spoken with.
milocas pereira alishambuliwa mwanzoni mwa mwezi mei na watu wasiofahamika, baada ya kuwa aliwasiliana na watu wake wa karibu aliokuwa amezungumza nao kuhusiana na nia yake ya kuondoka angola.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
and the heart of the mother of musa became void, and she had wellnigh disclosed him, had we not fortified her heart, that she might remain one of the believers.
na moyo wa mama yake musa ukawa mtupu. alikuwa karibu kumdhihirisha, ingeli kuwa hatukumtia nguvu moyo wake ili awe miongoni mwa waumini.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
and when the woman saw that she was not hid, she came trembling, and falling down before him, she declared unto him before all the people for what cause she had touched him and how she was healed immediately.
yule mwanamke alipoona kwamba hawezi kujificha, akajitokeza akitetemeka kwa hofu, akajitupa mbele ya yesu. hapo akaeleza mbele ya wote kisa cha kumgusa yesu na jinsi alivyoponyeshwa mara moja.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
in shakespeare's macbeth, lady macbeth begins to compulsively wash her hands in an attempt to cleanse an imagined stain, representing her guilty conscience regarding crimes she had committed and induced her husband to commit.
katika macbeth ya shakespeare, binti macbeth anaanza kuosha mikono yake kwa shurutisho ili kujaribu kusafisha doa inayodhaniwa, akiashiria dhamiri ya hatia kuhusu uhalifu aliotenda na kumshawishi mumewe kutenda.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
amina's lawyers argued that she had the pepper spray for self-defense reasons, following the death threats she received last march, after she posted topless photographs of herself on facebook.
wanasheria wa amina walisema kwamba alikuwa na kifaa hicho kwa sababu ya kujilinda, kufuatia vitisho vya kuuawa alivyopata mwezi machi, baada ya yeye kuwa ameweka picha inayomwonyesha bila nguo kifuani kwenye mtandao wa facebook.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
she had been employed by the wealthy and influential former president of lahore's bar association, and for a generous $8 a month she cleaned her employer's toilets, the cars that filled their suburban garage, and the filth that collected on the floors of their home.”
binti huyu alikuwa ameajiriwa na mtu tajiri na mwenye uwezo mkubwa aliyewahi kuwa rais wa chama cha wanasheria, na binti huyu alichokuwa akilipwa ni dola 8 tu kwa mwezi huku baadhi ya majukumu yake yakiwa ni kusafisha choo, magari yaliyokuwa ayakiegeshwa hapo katika nyumba iliyo pembezoni kidogo mwa mji, pamoja na kuondoa taka zote katika nyumba hiyo ya ghorofa."
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting