Results for shecamel translation from English to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

here is the shecamel of allah, a sign for you.

Swahili

huyu ni ngamia jike wa mwenyezi mungu aliye ni ishara kwenu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

'my nation, this is the shecamel of allah, a sign for you.

Swahili

enyi watu wangu! huyu ngamia wa mwenyezi mungu ni ishara kwenu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

we are sending to them as a trial, a shecamel, so watch them and have patience.

Swahili

hakika sisi tutawapelekea ngamia jike ili kuwajaribu, basi watazame tu na ustahamili.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

to thamood, we brought the shecamel as a visible (sign), yet they wronged her.

Swahili

na tuliwapa wathamudi ngamia jike kuwa ni ishara iliyo dhaahiri, lakini walidhulumu kwaye.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

he said: 'here is a shecamel. she shall have her share of water as you have yours on an appointed day.

Swahili

akasema: huyu ngamia jike; awe na zamu yake ya kunywa, na nyinyi muwe na zamu yenu ya kunywa katika siku maalumu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

(then) they hamstrung the shecamel and defied the order of their lord, saying to salih: 'bring down that which you have promised us if you truly are one of the messengers'

Swahili

na wakamuuwa yule ngamia, na wakaasi amri ya mola mlezi wao, na wakasema: ewe saleh! tuletee unayo tuahidi ikiwa wewe ni miongoni mwa mitume.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
9,227,214,080 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK