From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
wake up in the sky
Last Update: 2024-05-07
Usage Frequency: 1
Quality:
symbolic meaning of hole in the sky
ishara
Last Update: 2024-04-22
Usage Frequency: 1
Quality:
a good word is like a good tree—its root is firm, and its branches are in the sky.
ni kama mti mzuri, mizizi yake ni imara, na matawi yake yako mbinguni.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
a good word is like a good tree: its roots are steady and its branches are in the sky.
ni kama mti mzuri, mizizi yake ni imara, na matawi yake yako mbinguni.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
as for the unbelievers, their works are like a mirage in the wilderness.
na walio kufuru vitendo vyao ni kama sarabi (mazigazi) uwandani.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
its root is firm and its branches are in the sky,
ni kama mti mzuri, mizizi yake ni imara, na matawi yake yako mbinguni.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
had we opened a door for them in the sky through which they could easily pass,
na lau tungeli wafungulia mlango wa mbingu, wakawa wanapanda,
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
and in the sky is your provision and what you are promised.
na katika mbingu ziko riziki zenu na mliyo ahidiwa.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
in the sky is your provision and that which you are promised.
na katika mbingu ziko riziki zenu na mliyo ahidiwa.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
it is like a good tree, whose root is firmly fixed, and whose branches reach the sky,
ni kama mti mzuri, mizizi yake ni imara, na matawi yake yako mbinguni.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
do they not see the birds controlled in the atmosphere of the sky?
je! hawawaoni ndege walivyo wat'iifu katika anga la mbingu?
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
an 18 year old man may look like a 3 year old boy and has to be carried around and held to get some heat in the body.
mwanaume wa miaka 18 anaweza kuonekana kama ni mvulana wa miaka 3, na anapaswa kubebwa na kusaidiwa kutoka nje ya nyumba ili angalau aweze kuota jua.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
have you not considered the free movements of the birds high in the sky above?
je! hawawaoni ndege walivyo wat'iifu katika anga la mbingu?
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
and we have sent down rain from the sky in a measured amount and settled it in the earth.
na tumeteremsha kutoka mbinguni maji kwa kiasi na tukayatuliza katika ardhi.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
are you secure that he who is in the sky will not unleash upon you a rain of stones?
au mnadhani mko salama kwa alioko juu ya kuwa yeye hakupelekeeni kimbunga chenye changarawe?
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
are you secure that he who is in the sky will not make the earth swallow you while it quakes?
mnadhani mko salama kwa alioko juu kuwa hatakudidimizeni kwenye ardhi, na tahamaki hiyo inatikisika!
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
blessed is he who placed constellations in the sky, and placed in it a lamp, and an illuminating moon.
ametukuka aliye zijaalia nyota mbinguni, na akajaalia humo taa na mwezi unao ng'ara.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
so when they saw it as a cloud appearing in the sky advancing towards their valleys, they said: this is a cloud which will give us rain.
basi walipo liona wingu likielekea kwenye mabonde yao, walisema: wingu hili la kutunyeshea mvua!
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
do they not look at the birds, held poised in the midst of (the air and) the sky?
je! hawawaoni ndege walivyo wat'iifu katika anga la mbingu?
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
twinkle twinkle little star. how i wonder what you are. up above the world so high. like a diamond in the sky. twinkle twinkle little star. how i wonder what you are
najiuliza wewe ni nani
Last Update: 2024-11-19
Usage Frequency: 1
Quality: