From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
interaksyon reported that the chinese government donated 200,000 masks to the philippines on 6 february, after senator richard gordon shipped 3.16 million masks to wuhan.
interaksyon iliripoti kuwa serikali ya uchina ilitoa msaada wa barakoa 200,000 kuelekea ufilipino mnamo 6 februari, baada ya seneta richard gordon alisafirisha barakoa milioni 3.16 hadi wuhan.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
posts like russia: no violation of election violations and russia: second day of post-election protests explain the motives behind the protests such as election results, blogger arrests and also the clashes with anti-activists groups recruited and shipped into moscow from other regions to demonstrate support for vladimir putin.
posti kama urusi: hakuna ukiukwaji wa ukiukwaji wa uchaguzi na urusi: siku ya pili ya maandamano ya baada ya kuchaguzi zinaeleza sababu hasa zilizo nyuma ya maandamano kama vile matokeo ya uchaguzi, kuwekwa kizuizini kwa wanablogu na vile vile mapigano dhidi ya makundi ya watu wanaopingana na wanaharakati yaliyondikishwa na kupelekwa moscow kutokea sehemu nyingine ili kumwunga mkono vladimir putin.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality: