From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
#sidibouzid the hacking of emails and facebook accounts, has confirmed the the benali government is a criminal enterprise
#sidibouzid uingiliaji wa barua pepe na anuani za facebook, imethibitisha serikali ya benali ni kampuni ya kihalifu
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
bloggers are under fire of the tunisian cyber police, they are trying to hack every one who supported #sidibouzid or #operationtunisia
wanablogu wanapokea shambulio kutoka kwa polisi wa mtandaoni, wanaojaribu kuingilia mawasiliano ya kila aliyeunga mkono #sidibouzid au #operationtunisia
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
based on feedback from ppl in #tunisia a pattern emerges: hacked facebook accts were connected to yahoo mail accounts #sidibouzid #ammar404
kwa kutumia mwitikio kutoka kwa watu walio #tunisia mwelekeo wa mambo unajitokeza: anuani za facebook zilizoingiliwa zinahusiana na anuani ya yahoo #sidibouzid #ammar404
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
rt @nayzek haha now officials (?) seem to be calling ppl individually to ask them stop sharing #sidibouzid videos on fb :) #optunisia...
rt @nayzek haha sasa maafisa (?) wanaonekana kuwaita watu mmoja mmoja kuwaomba kuacha kutumiana video za #sidibouzid kwennye mtandao wa fb :) #optunisia...
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
#tunisia activist @benmhennilina & journalist @sofien_chourabi r being targeted coz of speaking to foreign media #sidibouzid #ammar404 while @spiralis1337 warns: tunisian police hacking facebook accounts to gather intel http://goo.gl/qyieu keep yourself safe #anonymous #optunisia #sidibouzid
#tunisia @benmhennilina & mwandishi wa habari @sofien_chourabi wanalengwa kwa sababu ya kuongea na chombo cha habari cha kigeni#sidibouzid #ammar404
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting