Ask Google

Results for so far, do i make progress in you... translation from English to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

We made it easy in your language, so that they may remember.

Swahili

Basi tumeifanya nyepesi hii Qur'ani kwa ulimi wako, ili wapate kukumbuka.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

And We have made this Qur’an easy in your language, for them to understand.

Swahili

Basi tumeifanya nyepesi hii Qur'ani kwa ulimi wako, ili wapate kukumbuka.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

Indeed We have made it simple in your language, so that they may take admonition.

Swahili

Basi tumeifanya nyepesi hii Qur'ani kwa ulimi wako, ili wapate kukumbuka.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

Indeed We have made it simple in your language so that you may give good news thereby to the Godwary and warn with it a disputatious lot.

Swahili

Na hakika tumeifanya nyepesi (Qur'ani) kwa ulimi wako, ili uwabashirie kwayo wachamngu, na uwaonye kwayo watu wabishi.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

Tweet greetings or your favorite words/phrases in your language Tweet a translation to encourage speakers of other indigenous and minority language communities

Swahili

Twiti salamu au maneno/misemo yako uipendayo kwa lugha yako Twiti tafsiri yake kuwahamasisha wazungumzaji wa jamii nyinginezo za lugha za wenyeji na wachache

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

“I do not say to you that I possess the treasures of God, nor do I know the future, nor do I say that I am an angel. Nor do I say of those who are despicable in your eyes that God will never give them any good.

Swahili

Wala sikwambiini kuwa nina khazina za Mwenyezi Mungu; wala kuwa mimi najua mambo ya ghaibu; wala sisemi: Mimi ni Malaika.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

And among His Signs is the creation of the heavens and the earth, and the variations in your languages and your colours: verily in that are Signs for those who know.

Swahili

Na katika Ishara zake ni kuumba mbingu na ardhi, na kutafautiana ndimi zenu na rangi zenu. Hakika katika hayo zipo Ishara kwa wajuzi.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

And among His signs is the creation of the heavens and the earth, and the differences in your languages and colours; indeed in this are signs for people who know.

Swahili

Na katika Ishara zake ni kuumba mbingu na ardhi, na kutafautiana ndimi zenu na rangi zenu. Hakika katika hayo zipo Ishara kwa wajuzi.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

I do not claim to be an angel, neither do I say of those who are despicable in your eyes that Allah will not grant them any good—Allah knows best what is in their hearts—for then I would indeed be a wrongdoer.’

Swahili

Wala siwasemi wale ambao yanawadharau macho yenu kuwa Mwenyezi Mungu hatawapa kheri - Mwenyezi Mungu anajua yaliomo katika nafsi zao - hapo bila ya shaka ninge kuwa miongoni mwa wenye kudhulumu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

"And (appoint him) a messenger to the Children of Israel, (with this message): "'I have come to you, with a Sign from your Lord, in that I make for you out of clay, as it were, the figure of a bird, and breathe into it, and it becomes a bird by Allah's leave: And I heal those born blind, and the lepers, and I quicken the dead, by Allah's leave; and I declare to you what ye eat, and what ye store in your houses.

Swahili

Na ni Mtume kwa Wana wa Israili kuwaambia: Mimi nimekujieni na Ishara kutoka kwa Mola Mlezi wenu, ya kwamba nakuundieni kwa udongo kama sura ya ndege. Kisha nampuliza anakuwa ndege kwa idhini ya Mwenyezi Mungu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

English

He said: O my people! have you considered if I have a clear proof from my Lord and He has given me a goodly sustenance from Himself, and I do not desire that in opposition to you I should betake myself to that which I forbid you: I desire nothing but reform so far as I am able, and with none but Allah is the direction of my affair to a right issue; on Him do I rely and to Him do I turn:

Swahili

Mwaonaje ikiwa ninayo dalili wazi inayo tokana na Mola wangu Mlezi, na ikawa Yeye ameniruzuku riziki njema kutoka kwake? Wala mimi sipendi kukukhalifuni nikafanya yale ninayo kukatazeni.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

Say: "No reward do I ask of you: it is (all) in your interest: my reward is only due from Allah: And He is witness to all things."

Swahili

Sema: Ujira nilio kuombeni ni wenu nyinyi. Sina ujira ila kwa Mwenyezi Mungu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
4,401,923,520 human contributions

Users are now asking for help:We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK