Results for societies translation from English to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

many societies have passed away before you. so travel the earth and note the fate of the deniers.

Swahili

kabla yenu zimepita nyendo nyingi; basi tembeeni katika ulimwengu muangalie vipi ulikuwa mwisho wa wanao kanusha.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

however, multiple professional societies and regulatory bodies have recommended continuing standard ace inhibitor and arb therapy.

Swahili

hata hivyo, mashirika mengi ya kitaalamu na ya usimamizi yamependekeza kuendelea na kizuzi cha kawaida cha ace na matibabu ya arb.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

English

in most societies, the clown that is #kibuule would be holding a resignation press conference today.

Swahili

katika jamii nyingi, mtu anayefanya kituko kama kibuule angekuwa anafanya mkutano na waandishi wa habari kutangaza kujiuzulu.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

another phenomenon is also strongly anchored in the fabric of many developed societies: the increase in frequency of humanitarian campaigns around the holiday season.

Swahili

jambo jingine ambalo limelojikita sana katika jamii zilizoendelea: ni ongezeko la kampeni za misaada ya kibinadamu wakati wa kipindi cha sikukuu (za mwisho wa mwaka).

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

big danger hovering over middle eastern societies: desensitization as atrocities multiply, become part of daily 'normalcy.'

Swahili

changamoto inayowakabili watu wa mashariki ya kati:big danger hovering over middle eastern societies: kadiri ya matukio ya kikatili yanavyoongezeka, kupuuzwa kwa matukio haya kunachukuliwa kawaida katika maisha ya kila siku.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

the study sponsor is the liverpool school of tropical medicine, uk, and the funder is the royal society of tropical medicine and health, uk.

Swahili

mdhamini wa utafiti ni liverpool school of tropical medicine, uk, na mfadhili ni royal society of tropical medicine and health, uk.

Last Update: 2021-03-10
Usage Frequency: 3
Quality:

Reference: Anonymous

Get a better translation with
8,926,926,987 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK