From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
socio economic
kiuchumi kijamii
Last Update: 2022-01-01
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
economic ruin
wanaswa uhujumu uchumi
Last Update: 2019-11-12
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
economic liberation
wajikomboe kiuchumi
Last Update: 2019-08-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
social economic development
maendeleo ya kiuchumi jamii
Last Update: 2022-02-05
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
fact 3: corruption impedes kenya’s socio -economic development
ufisadi unazorotesha maendeleo ya nchi.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
send something master economic tightness
tuma kitu bwana uchumi mbana
Last Update: 2022-10-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
economic change of currency in the world market
economic market
Last Update: 2023-03-04
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
for the first time, egyptians from all walks of life with different socio-economic backgrounds have joined the protests.
kwa mara ya kwanza, wamisri kutoka kada zote za maisha wenye hali tofauti za kijamii na kiuchumi wamejiunga na maandamano.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
a decade ago, the african socio-economic environment was considered unfavourable to the creation and development of business ventures.
muongo mmoja uliopita, mazingira ya kijamii na kiuchumi ya ki-afrika yalionekana kuwa mabaya kwa utengenezeaji na ukuuzaji wa miradi ya biashara.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
create social and economic conditions for parenthood, not restrictions!!!
andaa mazingira mazuri ya kijamii na kiuchumi kwa ajili ya malezi na siyo kukataza!!!
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
photo released under creative commons by the world economic forum.
picha imetolewa chini ya leseni ya creative commons na world economic forum.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
the concept of african entrepreneurship will be based on the value of african culture but also on developing solidarity that promotes the socio-economic environment.
dhana ya ujasiriamali afrika itakuwa na msingi wake katika tunu za utamaduni wa ki-afrika lakini pia katika kujenga mshikamano unaodumisha mazingira ya kiuchumi na kijamii.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
the connection between economic survival and sexual violence has a legacy in liberia.
uhusiano kati ya kujikimu kiuchumi na ngono za nguvu vina kumbukumbu ndefu nchini liberia.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
it is believed that ict will be harnessed to generate wealth and be a key economic driver.
inaaminika kwamba teknohama itatumiwa ili kutengeneza utajiri na kuwa kama ufunguo madhubuti wa kiuchumi.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
however, the continuing economic problems have created a ripple effect in other areas.
hata hivyo, matatizo yanayoendelea ya uchumi yamesababisha madhara mengi katika maeneo mengine.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
a powerful documentary on the economic plunder of copper mining in zambia and the associated environmental damage.
ni filamu bora kabisa na yenye maudhui mazito ya uchunguzi kuhusu udhaifu wa sekta ya uchimbaji wa madini nchini zambia na uharibifu wa kimazingira unaoambatana na shughuli hizo.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
international governmental organizations are addressing the economic and social impacts of the covid-19 crisis.
mashirika ya serikali kimataifa zinashughulikia athari za kiuchumi na ya kijamii ya hali ya hatari ya covid-19.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
he says you can’t separate liberia’s economic problems from issues regarding sexual health.
anasema huwezi kutenganisha matatizo ya kiuchumi ya liberia na masuala yanayohusu afya ya ngono.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
despite some undeniable economic progress in many african nations, social inequality is still even more striking on the african continent.
bila kujali maendeleo yasiyopingika katika nyingi ya nchi za kiafrika, ukosefu wa usawa wa kijamii bado unaendelea kustua barani afrika.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
federico boyd sulapas dominguez uploaded this painting in time for the asia-pacific economic cooperation summit which will be held in the philippines.
federico boyd sulapas dominguez alipakia mchoro huu wakati wa kuelelekea kwenye kongamano la ushirika wa kiuchumi la asia-pacific linalotarajiwa kufanyika nchini ufilipino.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference: