From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
software
tofawuti
Last Update: 2019-12-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
software center
kituo cha programu
Last Update: 2014-08-15
Usage Frequency: 3
Quality:
Reference:
ubuntu software center
kituo cha programu za ubuntu
Last Update: 2014-08-15
Usage Frequency: 3
Quality:
Reference:
tools for software development
vifaa vya ujenzi wa programu
Last Update: 2024-02-11
Usage Frequency: 3
Quality:
Reference:
to install software, you need to authenticate.
kusanikisha programu, itakuhitaji kijithibitisha
Last Update: 2014-08-15
Usage Frequency: 3
Quality:
Reference:
iprocure – software for optimizing rural supply chains
iprocure – zana za kuongeza upatikanaji wa huduma vijijini
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
the wealthy developers can smash us like ants, if ever we dare to upset them.
matajiri wanaweza kutukanyaga kama sisimizi, kama tutajaribu kuwakasirisha.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
the secure platform was launched in collaboration with globaleaks, an open source and anonymous whistleblowing software.
jukwaa hilo salama lilizinduliwa kwa ushirikiano na globaleaks, zana huru na inayoficha utambulisho wa mtumiaji.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
#emailselfdefense infographic by journalism++ for the free software foundation (cc by 4.0)
picha ya maelezo ya #ulinziwabaruapepe iliyotengenezwa na mfuko wa zana za uandishi wa habari wa bure (cc by 4.0)
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
nawaat leaks logo those wishing to use nawaat leaks to leak classified information, will first need to download the online anonymity software tor.
nembo ya nawaat leaks wale wanaotaka kutumia mtandao wa nawaat leaks ili kuvujisha taarifa nyeti, watahitaji kwanza kushusha zana ya kuficha utambuzi wa mtandao iitwayo tor.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
a computer science major, coker had plans to return to his home country after a software engineering internship in the san francisco bay area this summer.
coker, ambaye ni mtaalamu wa sayansi ya kompyuta, alikuwa na mipango ya kurejea nchini mwake mara baada ya kumaliza mafunzo yake ya ujasiriamali wa uhandisi wa vitumizi vya kompyuta, uliokuwa unafanyikia eneo la san francisco bay katika kipindi cha majira haya ya joto.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
safadi, who has been in prison for almost four years, is also a well-known open-source software developer.
safadi, ambaye amekuwa gerezani kwa zaidi ya miaka minne, anafahamika sana kama mtengenezaji wa zana huria za mtandaoni.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
gnome's focus on usability and accessibility, regular release cycle, and strong corporate backing make it unique among free software desktops.
mwelekeo wa gnome kwenye upande wa matutumizi bora, dafaa imara ya matoleo inaitia ubora katika kundi la programu dezo za kidawati
Last Update: 2014-08-15
Usage Frequency: 3
Quality:
Reference:
organized by journalists daniela silva and pedro markun , the event has free entry and is an opportunity for software developers, journalists and researchers to gather together to find ways to “scrape” data from official websites and create applications that bring transparency and participation to the political processes.
matukio haya yaliandaliwa na wanahabari daniela silva na pedro markun , ni matukio yenye kiingilio bure na yanatoa fursa kwa watengeneza programu za kompyuta, wanahabari na watafiti kukutana pamoja na kutafuta njia za “kukomba’ taarifa kutoka kwenye tovuti rasmi za ofisi na kutengeneza applications ambazo zitaweza kuleta uwazi na ushiriki kwenye mchakato wa siasa.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
eleitor 2010 runs on the open source software ushahidi, a web-based platform which received much attention for its utility in mapping incidents after the haiti earthquake, driven by sms reports from the ground.
mradi wa eleitor 2010 unatumia programu huria ya ushahidi, jukwaa la kwenye mtandao ambalo liliangaliwa kwa karibu na watu wengi kutokana na ufanisi wake katika upangaji wa taarifa katika ramani baada ya tetemeko la ardhi huko nchini haiti, ambao ulifanikishwa na jumbe fupi za simu za mkononi (sms) kutokea katika maeneo ya tukio.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
activists are calling upon the syrian government to immediately release imprisoned syrian-palestinian software engineer bassel khartabil, also known as bassel safadi, after he was moved from his prison to an unknown location earlier today.
wanaharakati wanaitaka serikali ya syria kumwachilia huru mara moja mfungwa ambaye ni mhandisi wa programu za kompyuta mwenye asili ya syria na palestina bassel khartabil, anayefahamika pia kama bassel safadi, baada ya kuhamishiwa kutoka kwenye gereza lake kwenda mahali pasipojulika mapema leo.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
printer '%s' is low on developer.
developer
Last Update: 2014-08-15
Usage Frequency: 3
Quality:
Reference: