From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
software
tofawuti
Last Update: 2019-12-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
software center
kituo cha programu
Last Update: 2014-08-15
Usage Frequency: 3
Quality:
Reference:
ubuntu software center
kituo cha programu za ubuntu
Last Update: 2014-08-15
Usage Frequency: 3
Quality:
Reference:
tools for software development
vifaa vya ujenzi wa programu
Last Update: 2024-02-11
Usage Frequency: 3
Quality:
Reference:
to install software, you need to authenticate.
kusanikisha programu, itakuhitaji kijithibitisha
Last Update: 2014-08-15
Usage Frequency: 3
Quality:
Reference:
they said that it will be going under maintenance.
walisema kwamba lengo lilikuwa ni kuifanyia matengenezo.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
iprocure – software for optimizing rural supply chains
iprocure – zana za kuongeza upatikanaji wa huduma vijijini
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
the plant was taken over by the agent for maintenance and did not return it
mtambo ulichukuliwa na wakala kwajili ya matengenezo na hakurudisha
Last Update: 2021-05-28
Usage Frequency: 2
Quality:
Reference:
the protest is against rising unemployment and neglecting the maintenance of the city.
mgomo huo umekuja kama hatua ya kupinga kukua kwa kasi kwa ukosefu wa ajira na kuzorota kwa maendeleo ya jiji hilo.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
and if they are pregnant, provide for them maintenance until they have delivered their burden.
na wakiwa wana mimba, wagharimieni mpaka wajifungue.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
the secure platform was launched in collaboration with globaleaks, an open source and anonymous whistleblowing software.
jukwaa hilo salama lilizinduliwa kwa ushirikiano na globaleaks, zana huru na inayoficha utambulisho wa mtumiaji.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
#emailselfdefense infographic by journalism++ for the free software foundation (cc by 4.0)
picha ya maelezo ya #ulinziwabaruapepe iliyotengenezwa na mfuko wa zana za uandishi wa habari wa bure (cc by 4.0)
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
for divorced women maintenance (should be provided) on a reasonable (scale).
na wanawake walio achwa wapewe cha kuwaliwaza kwa mujibu wa sharia.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
and for divorced women, maintenance (should be provided) on reasonable (scale).
na wanawake walio achwa wapewe cha kuwaliwaza kwa mujibu wa sharia.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
a computer science major, coker had plans to return to his home country after a software engineering internship in the san francisco bay area this summer.
coker, ambaye ni mtaalamu wa sayansi ya kompyuta, alikuwa na mipango ya kurejea nchini mwake mara baada ya kumaliza mafunzo yake ya ujasiriamali wa uhandisi wa vitumizi vya kompyuta, uliokuwa unafanyikia eneo la san francisco bay katika kipindi cha majira haya ya joto.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
and the same responsibility for the maintenance of the mother devolves upon the father of the child and his heir. there is no harm if they wean the child by mutual consent and consultation.
na juu ya mrithi mfano wa hivyo. na kama wote wawili wakitaka kumwachisha ziwa kwa kuridhiana na kushauriana, basi si vibaya kwao.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
gnome's focus on usability and accessibility, regular release cycle, and strong corporate backing make it unique among free software desktops.
mwelekeo wa gnome kwenye upande wa matutumizi bora, dafaa imara ya matoleo inaitia ubora katika kundi la programu dezo za kidawati
Last Update: 2014-08-15
Usage Frequency: 3
Quality:
Reference:
software companies and parliamentary buildings around the world are still mostly dominated by men, but this is changing quickly thanks to a new generation of women technologists, activists, and politicians.
kampuni za utengenezaji mifumo inayoendesha kompyuta na majengo ya mabunge sehemu mbalimbali duniani bado yanatawaliwa na wanaume, lakini jambo hili sasa linabadilika kwa kasi kubwa, yote ni kwa sababu ya kizazi kipya cha wanawake wanateknolojia, wanaharakati na wanasiasa.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
allah hath made the ka'ba, the sacred house, a maintenance for mankind and likewise the sacred month, and so also the offering and the victims with garlands.
mwenyezi mungu ameifanya al kaaba, hii nyumba tukufu, ni simamio la watu, na kadhaalika miezi mitukufu, na wanyama wa dhabihu, na vigwe.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
eleitor 2010 runs on the open source software ushahidi, a web-based platform which received much attention for its utility in mapping incidents after the haiti earthquake, driven by sms reports from the ground.
mradi wa eleitor 2010 unatumia programu huria ya ushahidi, jukwaa la kwenye mtandao ambalo liliangaliwa kwa karibu na watu wengi kutokana na ufanisi wake katika upangaji wa taarifa katika ramani baada ya tetemeko la ardhi huko nchini haiti, ambao ulifanikishwa na jumbe fupi za simu za mkononi (sms) kutokea katika maeneo ya tukio.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference: