From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
in the future
ijayo
Last Update: 2019-11-30
Usage Frequency: 2
Quality:
Reference:
i will go on
saana
Last Update: 2024-10-13
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
my heart will go on
moyo wangu utaendelea
Last Update: 2022-06-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
they will go on spending and rue it in the end, and will be subdued.
basi watayatoa, kisha yatakuwa juu yao majuto, na kisha watashindwa.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
my heart will go on to love you
moyo wangu utaendelea
Last Update: 2021-01-23
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
we will keep our eyes on namibia to see the future of social media in the country.
tutayakazia macho yetu namibia kuoana mustakabali wa vyombo vya habari vya kijamii katika nchi hiyo.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
the matter is up to god, in the past, and in the future.
amri ni ya mwenyezi mungu kabla yake na baada yake.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
others provide suggestions of how to deal with such clergymen in the future.
wengine wanatoa maoni ya namna ya kushughulikia watu kama mhubiri huyo katika siku za usoni.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
the dispute has been settled, but who will know the project might start again in the future?
mgogoro sasa umetulizwa, lakini ni nani anayejua ni lini na wapi mradi huu utaanzishwa tena katika siku zijazo?
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
i fear if the balance is tilted further in the future, i will fall off my bicycle.
ninaogopa kwamba kama hata kilichobaki kitapunguzwa kwa mara nyingine huko mbeleni, nitakula mweleka na baiskeli yangu pia.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
as long as that is the case, the problems will go on.”
na kama ni hivyo, matatizo yataendelea.”
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
i repeated that he was rude and wouldn't get my money today or in the future and left.
nikarudia kwamba alikuwa si muungwana na kwamba asingeipata fedha yangu leo na hata siku nyingine na kuondoka.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
more important is how i will receive that change in the future, what i should do in time and what steps i can take to achieve that change.
kikubwa zaidi ni jinsi gani intakavyo pokea hayo mabadiliko ya usoni, nini fanye nini kwa wakati na hatua gani nizichukue ili niyapate hayo mabadiliko.
Last Update: 2020-09-23
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
as for them, they will go on fighting with you till they succeed in turning you away from your faith, if they can.
na fitina ni mbaya zaidi kuliko kuuwa. wala hawatoacha kupigana nanyi mpaka wakutoeni katika dini yenu kama wakiweza.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
using generators for power when necessary, a number of palestinians and foreign activists are still managing to send out reports on what is happening in the gaza strip.
wapalestina wachache na wanaharakati wakigeni bado wanaweza kutuma ripoti za kile kinachoendelea kwenye ukanda wa gaza kwa kutumia umeme wa jenereta inapobidi.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
if the balance is tilted further in the future, it will make it harder for any one considering citizen journalism/activism.
kama malipo yaliyobaki yataendelea kuminywa zaidi huko mbeleni, itakuwa vigumu kwa yeyote anayefikiri kujiunga na uandishi/uanaharakati wa kiraia.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
in hindsight warnings, intimidations, arrest and torture have not stopped me from exercising my free speech rights neither they do in the future.
kwa kuweza kung'amua maangalizo, vitisho, kukamatwa na kuteswa hakujanifanya niache kutumia haki zangu za kujieleza na hata wakifanya hivi kwa siku zijazo.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
a space for the international community to voice its concerns over the human rights abuses and environmental destruction the land grabbing happening in the gambella region of ethiopia is causing
nafasi kwa ajili ya jamii ya kimataifa kupaza sauti yake dhidi ya uvunjifu wa haki za binadamu na uharibifu wa mazingira unaosababishwa na unyang’anyi wa ardhi unaoendelea eneo la gambella nchini ethiopia.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
go on acting in your way; indeed i am going to act in my way; soon you will know whose end will be best in the hereafter."
fanyeni muwezayo, na hakika mimi nafanya. mtakuja jua nani atakuwa na makaazi mema mwishoni.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
Warning: Contains invisible HTML formatting
we look forward to more relationships in the future. on behalf of the knh management, the newsline team would like to thank all the donors and well wishers and wish them a merry christmas and happy new year
tunatarajia mahusiano zaidi katika siku zijazo. kwa niaba ya usimamizi wa knh, timu ya newsline ingependa kuwashukuru wafadhili wote na watakia mema na kuwatakia krismasi ya merry na mwaka mpya wenye furaha
Last Update: 2021-12-26
Usage Frequency: 2
Quality:
Reference: