From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
initial genetic testing of patient samples on 27 december 2019 indicated the presence of a sars-like coronavirus.
vipimo vya awali vya sampuli za wagonjwa mnamo tarehe 27 disemba 2019 viliashiria kuwepo kwa virusi vya korona vinavyofanana na sars.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
the mortality of patients hospitalised due to covid-19 is ca 4%.
kiwango cha vifo vya wagonjwa waliolazwa kutokana na covid-19 ni 4%.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
rcgp rsc’s surveillance with phe is defined as health protection under regulation 3 of the health service (control of patient information) regulations 2002.
uchunguzi wa rcgp rsc na phe unafafanuliwa kuwa ulinzi wa afya chini ya kanuni ya 3 ya kanuni za huduma ya afya (udhibiti wa maelezo ya mgonjwa) za 2002.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
"the current count of patients treated in 10 days is 227″: real hope for haiti shares some of their experiences as they help to battle the cholera epidemic.
"idadi ya wagonjwa waliotibiwa katika siku 10 zilizopita ni 227″: matumaini ya kweli kwa haiti wanaeleza uzoefu wao wakati wanasaidia kupambana na ugonjwa wa kipindupindu.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
approximately 20-30% of patients subsequently require intensive care and mechanical ventilation.
takriban 20-30% ya wagonjwa baadaye huhitaji tiba ya kina na mashine za kusaidia kupumua.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
as a novel disease, covid-19 has just started to manifest its full clinical course throughout thousands of patients.
kama ugonjwa mpya, covid-19 imeanza tu kujidhihirisha kikamilifu kimatibabu kwa maelfu ya wagonjwa.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
a canadian group reported that sars-cov-2 was detected in both mid-turbinate and throat swabs of patients who recovered and left the hospital 2 weeks earlier, which indicates that the newly identified virus could become a cyclical episode similar to influenza.
kikundi cha wanakanada waliripoti kwamba sars-cov-2 iligunduliwa katika vipimo vya mikondo ya hewa na koo vya wagonjwa waliopona na kutoka hospitalini wiki 2 mapema, jambo linaloashiria kwamba virusi vipya vilivyotambuliwa vinaweza kuwa vya vipindi vya kujirudia kama vile homa ya mafua.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Some human translations with low relevance have been hidden.
Show low-relevance results.