Trying to learn how to translate from the human translation examples.
From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:
From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
it's difficult to determine how many lives were impacted by previous hiv/aids policies, but the treatment action campaign (tac) says that over two million south africans died of aids during mbeki's presidency and at least 300,000 deaths could have been avoided if he had met basic constitutional requirements.
ni vigumu kueleza idadi kamili ya watu walioathiriwa na sera zilizopita juu ya vvu na ukimwi, lakini shirika la treatment action campaign (tac) (kampeni ya kutetea tiba) linakadiria kwamba kiasi cha raia milioni mbili wa afrika ya kusini walikufa kutokana na kuugua ukimwi katika kipindi ambapo mbeki alikuwa madarakani, na kwamba walau jumla ya vifo 300,000 vingeweza kuepukwa endapo tu angetimiza baadhi ya mambo ya msingi ya kikatiba.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Some human translations with low relevance have been hidden.
Show low-relevance results.