Results for southeast translation from English to Swahili

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

English

Swahili

Info

English

southeast

Swahili

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

southeast ijo

Swahili

kiijo-mashariki

Last Update: 2014-11-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

English

southeast asia: sex and web censorship · global voices

Swahili

asia ya kusini mashariki : ngono na udhibiti wa mtandao

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

English

photos: thousands of workers march for rights across southeast asia · global voices

Swahili

maelfu ya wafanyakazi waandamana barani asia

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

English

the aggressive drive to eliminate sex and sexual imageries in the online domain may be a symptom of the rising tide of conservatism in many southeast asian nations.

Swahili

hatua kali za kutaka kuondoa ngono na picha za ngono mtandaoni inaweza kuwa ni dalili ya kuibuka upya kwa uhafidhina katika nchi nyingi za kusini mashariki mwa asia.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

English

boko haram assaulted bosso and diffa, two towns in southeast niger at the border with nigeria but was repelled by niger and chad's army.

Swahili

boko haram walishambulia bosso na diffa, miji miwili iliyo kusini mashariki mwa naija kwenye mpaka wa nchi hiyo na naijeria lakini walirudishwa nyuma na majeshi ya chad na naija.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

English

southeast asian governments do no always need sex scandals to censor the web since they can always cite other reasons, like national security, to filter and monitor internet content.

Swahili

kusini mashariki mwa asia serikali hazihitaji kutokee shutuma za ngono ndipo ianze kuchunga mtandao kwani huweza kutumia sababu nyingine yeyote, kama usalama wa taifa, kuchuja na kufuatilia vilivyopo kwenye mtandao.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

English

murray hunter of the university malaysia perlis discusses the situation of muslim-majority societies in southeast asia as well as the issues associated with the rise of islam in the region.

Swahili

murray hunter wa chuo kikuu cha malaysia perlis anajadili hali ya jamii ya kiislamu katika asia ya kusini pamoja na masuala yanayohusiana na kukua kwa uislamu katika eneo hilo.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

English

as the number of internet users has been growing rapidly in southeast asia in recent years, online censorship has proliferated, from china to cambodia, as if it runs through the mekong river.

Swahili

kadiri idadi ya watumiaji wa intaneti invyokua kwa haraka katika kusini mashariki ya asia kwenye miaka ya hivi karibuni, na ndivyo kuchujwa kwa kwa habari kunavyozidi, kuanzia uchina mpaka kampuchea, kana kwamba kunafuata mkondo wa mto mekong.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

English

but this week long lines were visible outside money transfer offices, such as this cam office in carrefour, southeast of port au prince, photographed by gv's georgia poppelwell.

Swahili

lakini wiki hii foleni ndefu zilionekana nje ya ofisi za kutuma na kupokea pesa, kama vile katika ofisi hii ya cam katika carrefour, kusini-mashariki ya port au prince, kama ilivyopigwa picha na georgia poppelwell.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

English

after the southeast asian tsunami in 2004, there were many small kids virtually unidentifiable, and yet a very high percentage of those children, thanks to dna testing and other methods, were eventually returned to family members.

Swahili

baada ya tukio la tsunami la asia ya kusini mashariki mwaka 2004, kulikuwa na watoto wengi wadogo wasiotambulika, na bado asilimia kubwa ya watoto hao, shukrani kwa vipimo vya vinasaba (dna) na njia nyingine, walirudishwa kwenye familia zao.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Get a better translation with
7,792,406,565 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK