Trying to learn how to translate from the human translation examples.
From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
spark discussion
kuibua
Last Update: 2023-02-10
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
infinix spark 5
simu yangu camera mbovu
Last Update: 2022-05-12
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
singapore: minister's comments spark internet meme · global voices
singapore: maoni ya waziri yasababisha tafrani mtandaoni
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
tunisia served as the spark for the arab spring that rippled across the mena region in 2011.
tunisia ndiko kulianzia cheche za mapinduzi ya kiarabu zilizoenea katika eneo lote la afrika kaskazini na mashariki ya kati mwaka 2011.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
these meetings spark new friendships and are a rich breeding ground for ideas and collaborations across borders.
mikutano hii huanzisha urafiki mpya na kutengeneza mazingira ya kuzaliwa kwa mawazo na ushirikiano kutoka sehemu mbalimbali.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
this tweet brings back to our memories the spark which ignited the arab revolutions, in december 2010, when tunisian fruit vendor mohammed bouazizi set himself on fire.
twiti hii inatukumbusha tukio lililosababisha mapinduzi ya kiarabu, mwezi desemba 2010, wakati mchuuzi wa matunda wa kitunisia mohammed bouazizi kujilipua kwa moto.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
when we as men and women kiss, for love or fraternity, we exercise our equality as citizens and we display the double standards that spark homophobia, sexism, the discriminatory attitudes that mark the root of our culture and which we must change.
kama wanaume na wanawake wanapobusiana, iwe kwa mapenzi au kwa kufahamiana, wanafanya hivyo kututumia haki yao ya usawa kama raia na inakuwa ni kuonyesha ajabu kuona kuwa kufanya hivyo ni kukuza hisia woga na chuki kwa mashoga, hali za kimapenzi, na hisia za kibaguzi zinazokuwa mzizi wa utamaduni wetu na ambazo lazima tuzibadilishe.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
"indeed it throws about sparks (huge) as forts,
hakika moto huo unatoa macheche kama majumba!
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
Warning: Contains invisible HTML formatting