From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
but the lyrics, she says, can be about anything — and cover a wide spectrum of human emotion and mood.
lakini mashairi, anasema, yanaweza kuhusu chochote -na yanabeba ujumbe wa aina mbalimbali za kihisia na mwonekano.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
with a circulation of approximately 23,000 the paper covers news in urdu language across a wide spectrum including politics, culture and sports.
huku likichapisha idadi ya nakala zipatazo 23,000, gazeti hili huchapisha habari mbalimbali zikiwemo zile za siasa, utamaduni na michezo katika lugha ya ki-urdu.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
eleven iranian bloggers and media professionals representing different parts of the political spectrum have answered a questionnaire about the changing dynamics of iranian citizen media since the election.
wanablog wa irani kumi na moja na wandishi wa habari wanaowakilisha sehemu tofauti za misimamo ya kisiasa wamejibu dodoso kuhusu mabadiliko uanahabari wa kiraia nchini irani tangu uchaguzi.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
blogger jentilisa provides in-depth analysis of the discourse on both sides of the political spectrum and cautions against the spreading of unverified rumors (mg):
maendeleo yenye mvuto wakati wa matukio haya ya kisiasa ni kuzuka kwa watumiaji hai wa twita kwa kimalagasi ambao walituma maendeleo ya kisiasa katika muda uliopo.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality: