From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
stakeholders
washika dau
Last Update: 2019-01-09
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
stakeholders in partnership
wadau unaoshirikiana nao
Last Update: 2021-06-22
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
other stakeholders in general.
wadau wengine kwa ujumla
Last Update: 2022-03-15
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
i wish all stakeholders a happy friday
nawatakia ijumaa njema wote wadau
Last Update: 2023-02-09
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
stakeholders in the country’s agricultural sector have begun exploring initiatives to accelerate the adoption of digital agriculture
wadau katika sekta ya kilimo nchini wameanza kuchunguza mipango ya kuharakisha kupitishwa kwa kilimo cha kidijitali
Last Update: 2024-12-11
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
francois ndiaye in niamey unpacks the set up of the financial agreement that includes multiple stakeholders and will be overseen by the investment group bolloré .
francois ndiaye katika niamey anaelezea kuhusu makubaliano ya fedha inayojumuisha wadau mbalimbali na itasimamiwa na kundi la uwekezaji la bolloré .
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
haha demanded that the government make decisions with the involvement of all stakeholders and come up with a better financial plan to ensure the sustainability of universities after the quotas are set back to a higher level.
haha iliitaka serikali kufanya maamuzi kwa kuwashirikisha wadau wakuu wa elimu na kisha kuja na mkakati mzuri wa matumizi ya fedha ili kuwa na uhakika wa ustawi vya vyuo vikuu mara baada ya mahitaji ya udahili kupitiwa upya ili kuboreshwa zaidi.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
the third challenge window is open. the challenge will include three to five themes. the dli innovation challenge team will develop these themes through consultation with relevant tanzanian stakeholders.
window ya challenge ya tatu ni wazi. changamoto itajumuisha mandhari tatu hadi tano. timu ya innovation challenge timu itaendeleza mandhari hizi kwa kushauriana na wadau wa tanzania.
Last Update: 2017-12-04
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
as ghanaians are getting ready for presidential and parliamentary elections that will be held on 7 december 2012, bloggingghana community has lauched a social media initiative that seeks to train stakeholders to use social media tools for election monitoring and reporting.
wakati wananchi wa ghana wakijiandaa kwa uchaguzi wa rais na wabunge utakaofanyika tarehe 7 desemba 2012, jumuiya ya wanablogu ya nchi hiyo iitwayo “bloggingghana” imeanzisha mradi wa vyombo vya habari vya kiraia ambao unalenga kuwaelimisha wadau namna ya kutumia zana za uandishi wa kiraia kwa ajili ya uangalizi wa uchaguzi na namna ya kuhabarisha yatakayotokea wakati wa uchaguzi.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
"an important issue is being addressed, a simple, easy to understand solution has been designed by combining the resources of stakeholders, there are measurable benefits for people and communities and the cost of the incoming message is free.
ni suala muhimu linalotatuliwa, ufumbuzi rahisi na unaoeleweka umebuniwa kwa kujumuisha hazina au nguvu za wadau, na kuna manufaa yanayopimika kwa watu na jamii na gharama za kupokea ujumbe bure.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
Warning: Contains invisible HTML formatting
education stakeholder
mdau wa elimu
Last Update: 2024-05-30
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference: