From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
statement of problem
taarifa ya tatizo
Last Update: 2020-12-11
Usage Frequency: 2
Quality:
Reference:
submit a statement of the results of the elections to the regional secretariat
kuwasilisha taarifa ya matokeo ya uchaguzi kwa sekretarieti ya mkoa
Last Update: 2024-06-29
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
the statement of our lord is realized against us, and we are tasting it,
basi hukumu ya mola wetu mlezi imekwisha tuthibitikia. hakika bila ya shaka tutaonja tu adhabu.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
his frustration came from a much-debated change in the statement of the coalition.
kukarahika kwake kulitokana na tamko lililojadiliwa sana la muungano huo.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
“we have chosen hope over fear, unity of purpose over conflict and discord”
"tumechagua matumaini dhidi ya hofu, umoja wa nia dhidi ya migogoro na kutoelewana"
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
Warning: Contains invisible HTML formatting
god has heard the statement of she who argued with you concerning her husband, as she complained to god.
mwenyezi mungu amekwisha sikia usemi wa mwanamke anaye jadiliana nawe juu ya mumewe, na anamshitakia mwenyezi mungu.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
such was jesus, son of mary: (this is) a statement of the truth concerning which they doubt.
huyo ndiye isa mwana wa maryamu. ndiyo kauli ya haki ambayo wanaifanyia shaka.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
the original statement of the coalition was to march to break the siege in accordance with the principle of non-violence and anchored in international law.
tamko la asili lilikuwa kuandamana ili kuvunja vikwazo vinavyoizingira gaza kwa mujibu wa kanuni za amani zilizojikita katika sheria za kimataifa.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
gv advocacy’s community has prospered, with new content, many new members, and a strong sense of purpose and mission going into 2013.
timu ya utetezi wa sauti za dunia (advocacy) imepiga hatua kubwa, kwa maudhui mapya, wanachama wengi wapya, na kuwa na dira ya dhati ya utendaji na mipango ya mwaka 2013.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
allah has certainly heard the statement of those [jews] who said, "indeed, allah is poor, while we are rich."
mwenyezi mungu amekwisha sikia kauli ya walio sema: mwenyezi mungu ni masikini, na sisi ni matajiri.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
Warning: Contains invisible HTML formatting
the only statement of the [true] believers when they are called to allah and his messenger to judge between them is that they say, "we hear and we obey."
haiwi kauli ya waumini wanapo itwa kwa mwenyezi mungu na mtume wake ili ahukumu baina yao, ila ni kusema: tumesikia, na tumet'ii!
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
Warning: Contains invisible HTML formatting
such (was) jesus the son of mary: (it is) a statement of truth, about which they (vainly) dispute.
huyo ndiye isa mwana wa maryamu. ndiyo kauli ya haki ambayo wanaifanyia shaka.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
furthermore, there is an increasing pressure on the government to closely monitor facebook activities as it is being used for all sorts of purposes.
kama vile haitoshi, kuna shinikizo kwa serikali kufuatilia kwa karibu yote yanayoendelea katika mtandao wa facebook kwa sababu ya kile kinachoonekana kwamba (mtandao huo) unaweza kutumika kwa makusudi yoyote.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
"o my son! establish regular prayer, enjoin what is just, and forbid what is wrong: and bear with patient constancy whatever betide thee; for this is firmness (of purpose) in (the conduct of) affairs.
shika sala, na amrisha mema, na kataza maovu, na subiri kwa yanayo kupata. hayo ni katika mambo ya kuazimiwa..
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
Warning: Contains invisible HTML formatting