Results for stephen translation from English to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

stephen

Swahili

stephanyeee

Last Update: 2022-03-28
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

saint stephen

Swahili

stefano

Last Update: 2012-12-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

English

fr stephen's blog writes about his suspension:

Swahili

blogu ya padri stephen inaandika kuhusu kusimamishwa kwake:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

English

blaise stephen is working at the international chamber of commerce and industry of madagascar.

Swahili

blaise stephen anafanya kazi katika chemba ya kimataifa ya biashara na viwanda ya madagaska.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

English

and stephen, full of faith and power, did great wonders and miracles among the people.

Swahili

mungu alimjalia stefano neema tele, akampa nguvu nyingi hata akawa anatenda miujiza na maajabu kati ya watu.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

English

on the ceasefire liberia blog, a rising voices project, stephen r. johnson writes:

Swahili

katika blogu ya ceasefire liberia, mradi wa rising voices, stephen r. johnson anaandika:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

English

canada - rdc: "stephen harper enters africa's heart of darkness"

Swahili

kanada - rdc: "stephen harper aingia katika moyo wa giza la afrika"

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia
Warning: Contains invisible HTML formatting

English

but stephen chapman believes that the statement "was intended to bring calm in a general sense."

Swahili

lakini stephen chapman anaamini kwamba kauli hiyo "ilikusudia kuleta utulivu kwa maana pana."

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia
Warning: Contains invisible HTML formatting

English

stephen, posting on irreverence, calls tshabalala-msimang a national embarrassment and hogan a glimmer of hope.

Swahili

stephen, akiandika kwenye tovuti ya irreverence, alimuita tshabalala-msimang kama aibu ya taifa na papo hapo akimwita hogan kama tumaini lililorejea.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

English

and when the blood of thy martyr stephen was shed, i also was standing by, and consenting unto his death, and kept the raiment of them that slew him.

Swahili

na kwamba wakati shahidi wako stefano alipouawa, mimi binafsi nilikuwako pale nikakubaliana na kitendo hicho na kuyalinda makoti ya wale waliokuwa wanamuua.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

English

now they which were scattered abroad upon the persecution that arose about stephen travelled as far as phenice, and cyprus, and antioch, preaching the word to none but unto the jews only.

Swahili

kutokana na mateso yaliyotokea wakati stefano alipouawa, waumini walitawanyika. wengine walikwenda mpaka foinike, kupro na antiokia wakihubiri ule ujumbe kwa wayahudi tu.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

English

bbc news - malaysia airlines loses contact with plane flying to beijing — stephen chimalo (@schimalo) march 8, 2014

Swahili

kwa mujibu wa shirika la habari la uingereza (bbc), shirika la ndege la malaysia limepoteza mawasiliano na ndege yao iliyokuwa ikisafiri kuelekea beijing

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

English

then there arose certain of the synagogue, which is called the synagogue of the libertines, and cyrenians, and alexandrians, and of them of cilicia and of asia, disputing with stephen.

Swahili

lakini watu fulani wakatokea ili wabishane na stefano. baadhi ya watu hao walikuwa wa sunagogi moja lililoitwa "sunagogi la watu huru", nao walitoka kurene na aleksandria; wengine walitoka kilikia na asia.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia
Warning: Contains invisible HTML formatting

English

according to stephen griffin, a virologist at the university of leeds, "wearing a mask can reduce the propensity [of] people to touch their faces, which is a major source of infection without proper hand hygiene."masks have also been recommended for use by those taking care of someone who may have the disease.

Swahili

kwa mujibu wa stephen griffin, mwanasayansi wa virusi katika chuo kikuu cha leeds, "kuvaa barakoa inaweza kupunguza uwezo [wa] watu kugusa uso yao, ambacho ni chanzo kubwa ya maambukizi bila usafi bora wa mikono. "barakoa pia zimependekezwa kwa matumizi na wale wanaotunza yeyote ambaye anaweza kuwa na ugonjwa huu.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia
Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
8,749,332,663 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK