Results for sticker translation from English to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

sticker

Swahili

stika

Last Update: 2021-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

in 2006, local programmer goran slakeski founded the website slikicki.com which has been the center of an online sticker exchange community, extending its reach with occasional offline events such as this one.

Swahili

mwaka 2006, mtengeneza program za kompyuta aitwaye goran slakeski alianzisha tovuti za slikicki.com ambazo zimekuwa kitovu cha jamii ya watu wanaopenda kubadilishana 'stika', akipanua wigo mara chache kwenda kwenye matukio halisi mtaani kama hili lililofanyika.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

in macedonia, as in other countries of the former yugoslavia, the tradition of collecting stickers is decades long, dating back at least to the 1970s and many vintage sticker albums are now valued collectors' items.

Swahili

nchini macedonia, kama ilivyo kwa nchi nyinginezo za yugoslavia ya zamani, utamaduni wa kukusanya 'stika' una historia ndefu, inaanzia miaka ya 1970 na albamu za 'stika' sasa zinauzwa.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

hundreds of people gathered on sunday afternoon in a downtown park in skopje to exchange stickers of the official football fifa world cup album on april 28, 2014.

Swahili

mamia ya watu walikusanyika mchana wa jumapili kwenye eneo la wazi jijini skopje kubadilishana 'stika' za mkusanyiko rasmi wa picha za kombe la dunia la fifa tarehe 28 aprili, 2014.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Get a better translation with
7,734,510,658 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK