Results for stranded translation from English to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

stranded

Swahili

dekezwa

Last Update: 2020-01-13
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

tens of thousands stranded, serbians take flood relief into their own hands

Swahili

maelfu wakwama, waserbia waamua kujiokoa kwa mikono yao wenyewe

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

coronaviruses contain a positive-sense, single-stranded rna genome.

Swahili

virusi vya korona vina genomu chanya ya nyuzi moja ya rna

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

he could stop the wind if he pleased, then they would be stranded on its surface.

Swahili

akitaka, huutuliza upepo navyo hivyo vyombo husimama tutwe juu ya bahari.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

later, remdesivir also demonstrated possible inhibition of other single stranded rna viruses including mers and sars viruses.

Swahili

baadaye, remdesivir pia ilionyesha kuzuia uwezekano wa kutokea virusi vingine vya rna vya namna moja ikiwa ni pamoja na virusi vya mers na sars.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

all passengers who were stranded in aircrafts during the siege were safely moved into the main terminal building after the initial siege ended.

Swahili

bado niko kwenye ndege -mfanyakazi wa emirates aliamuru mapema kwamba abiria washuke lakini kwa sasa imebidi tubaki kwenye ndege.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

like all coronaviruses, virions consist of single-stranded positive-sense rna enclosed within an envelope.

Swahili

kama virusi vya korona, chembe kimoja cha virusi kina rna chanya ya kamba moja kilichofunikwa ndani ya gubiko.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

according to our local authors many more are stranded, without food, water and aid, in a wasteland that used to be their homes.

Swahili

kwa mujibu wa waandishi wetu nchini humo watu wengi zaidi wamejikuta katika makazi yasiyokuwa na chochote, huku wakipata shida kubwa, hawana chakula, maji wala msaada.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

on 0ctober 30, 87 people trying to reach the mediterranean sea died after being abandoned in the sahara desert when their drivers left them stranded to seek for help.

Swahili

mnamo tarehe 30 0ctoba, watu 87 waliokuwa wakijaribu kuifikia bahari ya mediterania walifariki mara baada ya madereva waliokuwa wakiendesha magari waliyoyatumia kusafiria kuwatelekeza wahamiaji hao katika jangwa la sahara.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

due to the spread of the disease, you are advised not to travel unless necessary, to avoid being infected, quarantined, or stranded by changing restrictions and cancelled flights.

Swahili

kwa sababu ya kuenea kwa ugonjwa huu, unashauriwa usisafiri isipokuwa iwe muhimu, ili kuepuka kuambukizwa, karantini, au kukwama katika vikwazo vinavyobadilika na ndege zilizokomeshwa.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

many of china's nearly 300 million rural migrant workers have been stranded at home in inland provinces or trapped in hubei province.in march 2020, more than 10 million americans lost their jobs and applied for government aid.

Swahili

wengi kati ya wafanyakazi milioni 300 waliohama kutoka mashambani wamekwama nyumbani katika mikoa nchini au kuzuiwa mkoa wa hubei.mnamo machi 2020, zaidi ya wamerekani milioni 10 walipoteza kazi zao na kuomba msaada wa serikali.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

and know that anything you obtain of war booty - then indeed, for allah is one fifth of it and for the messenger and for [his] near relatives and the orphans, the needy, and the [stranded] traveler, if you have believed in allah and in that which we sent down to our servant on the day of criterion - the day when the two armies met.

Swahili

na jueni ya kwamba ngawira mnayo ipata, basi khums (sehemu moja katika tano) ni kwa ajili ya mwenyezi mungu na mtume, na jamaa, na mayatima, na masikini, na wasafiri, ikiwa nyinyi mmemuamini mwenyezi mungu na tuliyo yateremsha kwa mja wetu siku ya kipambanuo, siku yalipo kutana majeshi mawili.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Get a better translation with
9,167,067,427 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK