From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
if you stretch your hand, you could hardly see it.
akiutoa mtu mkono wake anakaribia asiuone.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
when they did not stretch their hands towards it he became suspicious and afraid of them.
basi alipoona mikono yao haimfikilii aliwatilia shaka, na akawaogopa.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
even if you stretch forth your hand against me to kill, i will not stretch forth my hand to kill you.
ukininyooshea mkono wako kuniuwa, mimi sitakunyooshea mkono wangu kukuuwa.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
if they come upon you, they will be your enemies, and stretch out their hands and tongues to do evil to you.
wakikuwezeni wanakuwa maadui zenu, na wanakukunjulieni mikono yao na ndimi zao kwa uovu.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
whenever they encounter you, they treat you as enemies, and they stretch their hands and tongues against you with malice.
wakikuwezeni wanakuwa maadui zenu, na wanakukunjulieni mikono yao na ndimi zao kwa uovu.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
even if thou stretch out thy hand against me to kill me, i shall not stretch out my hand against thee to kill thee, lo!
ukininyooshea mkono wako kuniuwa, mimi sitakunyooshea mkono wangu kukuuwa.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
and let not thine hand be chained to thy neck, nor stretch it forth to the utmost stretching, lest thou sit down reproached, impoverished.
wala usiufanye mkono wako kama ulio fungwa shingoni mwako, wala usiukunjue wote kabisa, utabaki ukilaumiwa muflisi.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
believers, remember the favor which allah bestowed upon you when certain people were about to stretch their hands towards you, but he restrained them.
enyi mlio amini! kumbukeni neema za mwenyezi mungu zilizo juu yenu, walipo taka watu kukunyooshieni mikono, naye akaizuilia mikono yao kukufikieni.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
afghanistan's 'green zone', a stretch of fertile, cultivated ground along the helmand river valley.
'eneo kijani’'s 'nchini afghastan', pana lenye rutuba, lililolimwa pembezoni mwa bonde la mto helmand.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
for we stretch not ourselves beyond our measure, as though we reached not unto you: for we are come as far as to you also in preaching the gospel of christ:
na kwa vile ninyi mu katika mipaka hiyo, hatukuipita tulipokuja kwenu, tukiwaleteeni habari njema juu ya kristo.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
he who thinks that god will not help him in this world and the next should stretch a rope to the sky then cut it off and see if his mind is relieved (of doubts) by this stratagem.
anaye dhani kwamba mwenyezi mungu hatamnusuru (mtume) katika dunia na akhera na afunge kamba kwenye dari kisha aikate. atazame je hila yake itaondoa hayo yaliyo mkasirisha?
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
do not stretch your eyes at the flower of this life which we have given couples to enjoy, it is with this that we might try them; and the provision of yourlord is better, and more enduring.
wala usivikodolee macho tulivyo wastareheshea baadhi ya watu miongoni mwao, kwa ajili ya mapambo ya duniani, ili tuwajaribu. na riziki ya mola wako mlezi ni bora na inadumu zaidi.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
if any one thinks that allah will not give him (prophet muhammad) victory in this present world and in the everlasting life, let him stretch a rope to heaven, and let him sever it.
anaye dhani kwamba mwenyezi mungu hatamnusuru (mtume) katika dunia na akhera na afunge kamba kwenye dari kisha aikate.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
"if thou dost stretch thy hand against me, to slay me, it is not for me to stretch my hand against thee to slay thee: for i do fear allah, the cherisher of the worlds.
ukininyooshea mkono wako kuniuwa, mimi sitakunyooshea mkono wangu kukuuwa. hakika mimi namwogopa mwenyezi mungu, mola wa walimwengu wote.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
"if you do stretch your hand against me to kill me, i shall never stretch my hand against you to kill you, for i fear allah; the lord of the 'alamin (mankind, jinns, and all that exists)."
ukininyooshea mkono wako kuniuwa, mimi sitakunyooshea mkono wangu kukuuwa. hakika mimi namwogopa mwenyezi mungu, mola wa walimwengu wote.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting