Results for strictly translation from English to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

who strictly guard their private parts

Swahili

na ambao wanazilinda tupu zao,

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

and who (strictly) guard their prayers;-

Swahili

na ambao sala zao wanazihifadhi -

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

but observe the measure strictly, nor fall short thereof.

Swahili

na wekeni mizani kwa haki, wala msipunje katika mizani.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

then strictly observe the fast till nightfall and touch them not, but be at your devotions in the mosques.

Swahili

kisha timizeni saumu mpaka usiku. wala msichanganyike nao, na hali mnakaa itikafu msikitini.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

stuart grobbelaar jokingly said uganda should pass laws that ban divorce and prescribe marriage strictly for virgins:

Swahili

stuart grobbelaar kwa mzaha anasema uganda ipitishe sheria itakayopiga marufuku talaka na kuhakikisha ndoa ifungwe kwa vijana bikra pekee:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

so avoid (strictly all) that (abomination) in order that you may be successful.

Swahili

basi jiepusheni navyo, ili mpate kufanikiwa.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

despite the innovation mentioned earlier, detecting counterfeit drugs is still a very difficult task and requires both advanced technology and the capacity to strictly enforce international regulations.

Swahili

hata tukizingatia ubunifu huu tuliozungumzia hapo awali, kugundua dawa hizi ni jambo gumu, ambalo linahitaji teknolojia za kisasa na uwezo wa kuhakikisha kuwa maagizo ya kitaifa yanafuatwa.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

recall also to mind the covenant we made with you while we raised the tur over you: `follow strictly the precepts we are giving you and give ear to our commandments.'

Swahili

na tulipo chukua ahadi yenu na tukauinua mlima juu yenu (tukakwambieni): kamateni kwa nguvu haya tuliyo kupeni na sikieni.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

ye who believe! if an evil-doer came unto you with a report, then inquire strictly, lest ye hurt a people in ignorance and repent thereafter of that which ye have done.

Swahili

enyi mlio amini! akikujieni mpotovu na khabari yoyote, ichunguzeni, msije mkawasibu watu kwa kuto jua, na mkawa tena wenye kujuta kwa mliyo yatenda.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

actually it is bizarre if an innocent citizen uses a name which remotely is the same as the one of a multinational, in a strictly personal context, is being sued for that reason only. yet i'm afraid goliath has a point here - because the legal system is to a large extent the product of the interests of the goliaths.

Swahili

kumshitaki raia mwema kwasababu tu anatumia jina ambalo kwa umbali ni sawa tu na lile litumikalo na kampuni kubwa ya kimataifa, kwa kweli ni kituko nafikiri bado goliath yuko sahihi hapa – kwasababu mfumo wa sheria kwa kiasi kikubwa upo kwa matakwa ya goliati.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,897,041,043 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK