Results for suggests translation from English to Swahili

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

English

Swahili

Info

English

suggests

Swahili

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

the same post suggests a more creative solution.

Swahili

posti hiyo hiyo inapendekeza utatuzi wa kibunifu zaidi.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

who suggests evil thoughts to the hearts of men --

Swahili

anaye tia wasiwasi katika vifua vya watu,

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

as of last week, one of four polls suggests opposition may have an edge.

Swahili

mpaka wiki iliyopita, moja ya kura za maoni kati ya nne inaonyesha kwamba upande wa upinzani unaweza kuwa na nafasi nzuri kushinda.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

phobian suggests that the vuvuzela be allowed when south africa plays:

Swahili

phobian anashauri kwamba mavuvuzela yaruhusiwe tu afrika kusini inapocheza:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

the hype that is there perhaps suggests that this time around the contest is high.

Swahili

matangazo yanayowanadi wagombea yanaweza kutubashiria ushindani ni mkubwa wakati huu.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

a trini speaks suggests that the release of the findings may be a case of too little, too late.

Swahili

trini inapendekeza kwamba kutolewa kwa matokeo haya kunaweza kuchukuliwa kuwa ni ya kiwango cha chini, na yamekuja kwa kuchelewa.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

a growing volume of research suggests paper towels are much more hygienic than the electric hand dryers found in many washrooms.

Swahili

utafiti mkubwa unaokua unapendekeza kuwa taulo za karatasi ni njia safi zaidi kuliko vikausha mikono vya stima vilivyo ndani ya bafu nyingi.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

English

the pinoy catholic echoes the official stand of the local clergy and adamantly suggests that sex education should be left to the parents.

Swahili

the pinoy catholic anatoa msimamo unaofanana na ule wa viongozi wa kanisa na kwa nguvu zote anapendekeza kuwa elimu ya ngono ibaki kuwa jukumu la wazazi.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

a possible path of evolution, of sars coronavirus and keen bat coronaviruses, suggests that sars related coronaviruses coevolved in bats for a long time.

Swahili

njia inayowezekana ya mageuzi, ya virusi vya korona vya sars na virusi vya korona vya popo, inapendekeza kuwa virusi vya korona vinavyohusiana na sars vilikuwa kwenye popo kwa muda mrefu.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

English

and certainly we created man, and we know what his mind suggests to him, and we are nearer to him than his life-vein.

Swahili

na hakika tumemuumba mtu, nasi tunayajua yanayo mpitikia katika nafsi yake. na sisi tuko karibu naye kuliko mshipa wa shingoni mwake.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

a report from reporters sans frontières suggests that rti might be broadcasting from a mobile truck stationed in a private home (fr).

Swahili

taarifa kutoka waandishi wasio na mipaka inaashiria kuwa rti inaweza ikawa inatangaza kutokea kwenye gari lililoegeshwa kwenye nyumba ya mtu binafsi (fr).

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

a total of 18 african countries do not have presidential term limits, although new research suggests that most africans support two-term presidential term limit.

Swahili

jumla ya nchi 18 za ki-afrika hazina ukomo wa mihula ya urais, ingawa utafiti mpya unaonesha kwamba wa-afrika wengi wanakubaliana na kuwepo kwa ukomo wa mihula ya urais.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

the first confirmed case of covid-19 has been traced back to 1 december 2019 in wuhan; one unconfirmed report suggests the earliest case was on 17 november.

Swahili

kisa cha kwanza iliyothibitishwa ya covid-19 imefuatiliwa nyuma hadi 1 desemba 2019 wuhan; ripoti moja ambayo isiyothibitishwa inadai kuwa kisa cha kwanza ilikuwa mnamo 17 novemba.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

English

new research by afrobarometer, a project that measures public attitudes in sub saharan africa, suggests that most africans support two-term presidential term limits for their presidents.

Swahili

utafiti mpya uliofanywa na afrobarometer, mradi unaopima mitazamo ya wananchi katika nchi za kusini mwa jangwa la sahara, unaonesha kwamba wa-afrika wengi wanaunga mkono ukomo wa vipindi viwili tu kwa marais wao.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

although more and more women are becoming aware of their voting rights and participating at local level politics, a report suggests that this year less women are likely to be elected to the country’s parliament.

Swahili

japokuwa wanawake wengi wanaanza kuwa na ufahamu wa haki zao za kupiga kura na wanashiriki katika siasa kwenye ngazi za chini, ripoti hii inaeleza kwamba inavyoelekea mwaka huu ni wanawake wachache zaidi watakaochaguliwa katika bunge la nchi.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

the blogger tokoloshte suggests visiting laguna lachua to be "industrialized" by the government (they will create a highway across the reservoir).

Swahili

mwanablogu tokoloshte anapendekeza kutembelea laguna lachua ambayo “itageuzwa kuwa ya viwanda ” na serikali (watajenga barabara kibwa katikati ya hifadhi).

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

English

suggest

Swahili

suggest

Last Update: 2020-09-27
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Get a better translation with
7,765,737,963 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK