Trying to learn how to translate from the human translation examples.
From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
when the sunlight is rolled up.
jua litakapo kunjwa,
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
no sunlight could reach them during their sleep in the cave. one could see the rising sun decline to the right of their cave and the setting sun move its way to the left whilst they were sleeping in an opening of the cave.
na unaliona jua linapo chomoza linainamia kuliani mwao kutoka hapo pangoni; na linapo kuchwa linawakwepa kushotoni, na wao wamo katika uwazi wa pango.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
inspired by ellen miller's post on the sunlight foundation blog, which profiles the work of women who use technology to promote transparency in the united states, we decided to add to the list by profiling several women from around the world involved in the use of technology to make government more transparent and accountable.
wazo hili likiwa linashajiishwa na makala ya ellen miller iliyotoka katika blogu ya sunlight foundation, ambayo inaelezea kazi za wanawake wanaotumia teknolojia ili kuhamasisha uwazi huko marekani. kwa hiyo tuliamua kuongeza kwenye orodha hiyo kwa kuwaelezea wanawake kadhaa kutoka sehemu mbalimbali ulimwenguni wanaotumia teknolojia kuzishinikiza serikali kuwa wazi na zinazowajibika zaidi.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality: