Results for suspend translation from English to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

to suspend the

Swahili

ye ye ninini

Last Update: 2022-04-15
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

i will go to the ends of the earth, and suspend disbelief if i have to, in return for lasting and meaningful peace.

Swahili

nitakwenda mpaka mwisho wa dunia, ili kusimamisha kutoamini kwangu, ili kupokea kurejea kwa amani na amani yenye maana.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

nevertheless, we are deeply concerned by the decision of the egyptian armed forces to remove president morsy and suspend the egyptian constitution.

Swahili

hata hivyo, tunatiwa wasiwasi na uamuzi wa jeshi kumwondoa rais morsi na kusimamisha katiba ya nchi hiyo.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

cases began to rise sharply, which prompted the italian government to suspend all flights to and from china and declare a state of emergency.

Swahili

visa vilianza kuongezeka sana, ambayo ilifanya serikali ya italia kusimamisha ndege zote zinazoingia na kutoka uchina na kutangaza hali ya dharura.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

google sms service. send block to block messages from this person, send permission to stop blocking. send off to suspend sms service temporarily.

Swahili

huduma ya google sms. tuma zuia ili kuzuia ujumbe kutoka kwa mtu huyu, tuma ruhusu kuacha kumzuia. tuma zima ili kusimamisha huduma ya sms kwa muda.

Last Update: 2021-05-23
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

the country's leading kiswahili daily, mwananchi, received two letters from the registrar recently threatening to suspend the paper for negative government coverage, managing editor theophil makunga told me.

Swahili

gazeti la kiswahili linaloongoza kwa kuwa na wasomaji wengi, mwananchi, hivi karibuni lilipokea barua mbili kutoka kwa msajili huyo zinazotishia kulifunga kwa kuwa liliripoti habari ambazo ziliikosoa serikali, mhariri mtendaji, theophil makunga, alinieleza.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

ecuador: government suspends television channel teleamazonas · global voices

Swahili

ecuador: serikali yaifungia idhaa ya televisheni ya teleamazonas

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Get a better translation with
8,891,374,007 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK